Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK anandikiwa vitu tu na kuvi- parrot.
HUYU jamaa hajui wakati wa kunyamaza?with what is going on in TZ he should never open his mouth to express ANY opinion for like 30 years.
What?? copy?Na kitabu kimeshaandikwa juu ya makubwa aliyoyafanikisha katika miaka 4 ya uongozi wake.
Huo ndio usanii wa karne. Hayo anayosema yafanyike (katika aya ya kwanza) yeye hayafanyiki katika nchi yake na yeye anawakumbatia hao wasioyafanya! au nchi yake haiko Afrika?
Akifafanua kuhusu nguzo hiyo ya kwanza ya Bara la Afrika kutumia vizuri, kwa njia endelevu na erevu raslimali zake, Rais Kikwete amesema kuwa uchimbaji wa madini na mafuta katika Afrika lazima uwasaidie Waafrika.
Ni jambo lisilokubalika kuwa madini ama mafuta yanachimbwa katika Bara la Afrika, lakini jamii zinazozunguka machimbo hayo havinufaiki na uchimbaji huo. Baadhi ya makampuni ya uwekezaji katika machimbo yanathubutu hata kuagiza maji ya kunywa, ama kuagiza chakula, ama hata kukodisha malori ya kusomba mchanga kutoka nje ya Bara hili, amesema Rais Kikwete.