JK akiri CCM ni nyoka aliyezeeka.....................

JK akiri CCM ni nyoka aliyezeeka.....................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
02_11_eze2fv.jpg
Mwenyekiti wa CCM taifa Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 34 ya chama hicho yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
 
Unapoona jemedari mkuu wa CCM anakiri chama chake kimejaa ghiliba kama nyoka mzee basi ujue mwisho wa safari ya chama hicho sasa umewadia...................................hata mkakati wa JK wa kulivua ngozi na kuwa na ngozi ya ujana siyo tiba ila kukifuta chama hicho na nchi ikaendelea mbele kwa mbele...........................
 
Mm ni chatu lilomeza na kuwakokota mafisadi akiwepo makamba, unle EPA, kagoda manji na ufadhili wa kuwadanganya wadanganyiaka wa mtoto(yong) wakiafrica, na wengineo siku yao inafika.
 
Hivi hizi kauli zake kama za mpiga debe hua anazitoa wapi? yaani hana hatamshauri? mi naona nashindwa kabisa kumuelewa huyu jamaa, haya bana
 
Ccm kwisha habari yake,na ningeshangaa kama jk asingeliona hilo,kila mwenye akili na asiye nayo kama jk analiona
saa ya ukombozi
 
Tambwe Hiza na Makamba kama nawaona vile.........safari imewadia achieni chama kwa vijana kiendeshwe kisomi zaidi...sio majungu.com/fitna
 
ccm bye bye mmetunyonya vya kutosha. hamna sera zaidi ya ufisadi. bye bye the revolutionary party that never was!!!!!!
 
all party leaders of ccm above 45yrs of age should resign with immediate effect.
at least to remain as an opposition party in year 2015 election.
 
ebu akalale huko hana lolote, nchi inajiendeleza yenyewe at thye moment! no kiongozi. wote wamelala:twitch:
 
huyu ni kunyonga wala sio nyoka leo nalipa dowans kesho silipi
 
Ccm kwisha habari yake,na ningeshangaa kama jk asingeliona hilo,kila mwenye akili na asiye nayo kama jk analiona
saa ya ukombozi
You are right mkuu, kama mbumbumbu huyu pia kaliona hilo basi ujue kufika 2015 ccm itakuwa imezikwa. Yafaa sasa wapiganaji wazidishe kasi ya kuwajulisha wananchi kwamba muda umefika kwa Tanzania kurejea mikononi mwao baada ya miaka mingi ya kushililiwa na mafisadi.
 
Back
Top Bottom