Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakosea ni joka la kibisa.
Duhall party leaders of ccm above 45yrs of age should resign with immediate effect.
at least to remain as an opposition party in year 2015 election.
You are right mkuu, kama mbumbumbu huyu pia kaliona hilo basi ujue kufika 2015 ccm itakuwa imezikwa. Yafaa sasa wapiganaji wazidishe kasi ya kuwajulisha wananchi kwamba muda umefika kwa Tanzania kurejea mikononi mwao baada ya miaka mingi ya kushililiwa na mafisadi.Ccm kwisha habari yake,na ningeshangaa kama jk asingeliona hilo,kila mwenye akili na asiye nayo kama jk analiona
saa ya ukombozi