JK akutana na mkurugenzi wa sasakawa peace

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
1788962540226.jpg

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Sasakawa Peace Foundation ya Japan, Bw. Masanori Kobayashi, katika ofisi yake ndogo iliyopo Masaki, Dar es Salaam.

Mazungumzo hayo yalilenga kufuatilia utekelezaji wa masuala yaliyoibuliwa wakati wa ziara ya kikazi iliyofanywa na Dkt. Kikwete nchini Japan kuanzia tarehe 23 hadi 24 Julai 2025.

Katika ziara hiyo, Dkt. Kikwete alikuwa miongoni mwa viongozi mashuhuri sita kutoka Afrika walioalikwa na Serikali ya Japan kupitia taasisi za Sasakawa Peace Foundation na Nippon Foundation. Viongozi hao walishiriki katika kutoa ushauri kuhusu namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya Afrika na Japan chini ya mwavuli wa Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (TICAD).

Mkutano wa tisa wa TICAD ulifanyika baadaye jijini Yokohama, Japan, kuanzia tarehe 20 hadi 22 Agosti 2025.

Katika mazungumzo hayo, Dkt. Kikwete aliishukuru Serikali ya Japan, kupitia Sasakawa Peace Foundation, kwa kuendelea kudumisha ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Tanzania na Japan, hususan katika kuimarisha mifumo ya uzalishaji na usalama wa chakula pamoja na kuendeleza uchumi wa buluu.

Dkt. Kikwete pia alisisitiza umuhimu wa kuendeleza tafiti na kuimarisha ushirikiano katika matumizi ya teknolojia za kisasa ili kuongeza tija katika shughuli za wavuvi wadogo na ufugaji wa samaki.

Aidha, alihimiza juhudi zaidi zielekezwe katika kukuza kilimo cha mwani kwenye maeneo ya mwambao wa Tanzania, hususan Zanzibar, ili kuongeza uzalishaji, thamani ya mazao na mapato ya wananchi wanaotegemea sekta hiyo.

Kwa upande wake, Bw. Kobayashi alieleza utayari wa Sasakawa Peace Foundation kutumia nafasi na ushawishi wake kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano kati ya Tanzania na Japan.
 
View attachment 3666843

Screenshot_20251122-090658~2.png
 
Baada ya kuzushiwa kifo kafosi aonekane, kifo ni noma sana
Mada inahusu mwani, ambao sasa hivi soko la Dunia value yake imepita $40B (zaidi ya Trilioni 100) na ipo projected karibuni kupita Trilioni 200, ni hot commodity Duniani, wakati Sisi tunaokota Tu pwani na kuuza nje bei ya kutupa, huko nje ni big deal.

Watu wanatoka Japan wanakuja Hadi huku na NGO zao mpaka wanamualika raisi wako wa zamani kwao, wanamezea matrilioni yako usiyoyathamini.

Ona sasa ulichokiona wewe kwenye Uzi sasa, hizi ndio tabia zetu halafu kila siku tunalalamikia Serikali kuhusu umasikini wetu.
 
well done JK:KasugaYeah:
 
🚮
 
Mkuu, kulielewesha nyumbu lolote ni kujipa kazi ngumu mno. Wanachoweza wao ni kilalamika na kuzusha baaaasi.....sijui inawasaidia nini maskini ya Mungu!!!
 
Back
Top Bottom