JK akutana na mkurugenzi wa sasakawa peace

Si bora kuendelea kuwa maskini tu kuliko kuendelea kuwalundikia hayo mabilion kwenye lake oil, GSM na Dubei?
Still hujaelewa point, it has nothing to do with Kikwete or GSM, it's about wajapan kuja kuwekeza kwenye Mwani huku.

Mwani sasa hivi kilo inafika laki huko Duniani, Sisi tumelala, umejaa kibao pwani, watu wanakuja kuchukua huku, tupo busy tunabet, umbea, uvivu etc siku watu wakishakuwa monopoly wa huo Mwani ndio tutaamka, tupewe 10% zetu.
 
Narudia mkuu, ni vigumu mno kulielewesha nyumbu lolote lililoozeshwa akili na kina heche
 
Back
Top Bottom