Still hujaelewa point, it has nothing to do with Kikwete or GSM, it's about wajapan kuja kuwekeza kwenye Mwani huku.
Mwani sasa hivi kilo inafika laki huko Duniani, Sisi tumelala, umejaa kibao pwani, watu wanakuja kuchukua huku, tupo busy tunabet, umbea, uvivu etc siku watu wakishakuwa monopoly wa huo Mwani ndio tutaamka, tupewe 10% zetu.