TUNAWASUBIRI KIZIMBANI 31st Dec kwani naona nyie mmepewa akili lakini zipo kwenye makalio,na mnaziacha mlipokuwa mmekaa..Ungekuwa una akili ungetambua kwamba hakuna ulazima wa kuhama na watu kutokea mkutano flan na kuwapeleka mwingine ukawahutubia,lakini pia ukajiuliza kwa nini kama mtu una sera zinazohuzika utumie fedha nyingi kiasi hicho kwa kusomba watu tu..? Hakika hawa waarabu waliotoa magari,wengine mafuta ya bure kwenye sheli zao watazirudisha kwa kutolipa kodi zetu..ILA SIKU ZINAHESABIKA,kama siyo ninyi leo,kizazi chenu keshokutwa!