HAPANA.... nilikusudia kuonyesha kuwa pepombili alikosea pale alipodai kuwa wakristo wanachuki dhidi ya waislam wa hapa tanganyika na duniani kote. Ukweli ni kwamba Waislam ndio wenye chuki dhidi ya wakiristo hapa tanganyika na duniani kote. nilitaja mifano michache tuu kudhibitisha argument yangu.
Nikurudi kwenye ajenda yako, hapa tanganyika hapajawai kuwepo uonevu wala ubaguzi wa kidini. lakini hivi karibuni waislam wameanzisha self awareness miongoni mwao wakiwatuhumu wakiristo kuendesha dhuluma dhidi yao, ukiangalia kwa undani hii hoja ya waislam ina mapana marefu. Hapa wanajenga misingi ya kupata sababu za kutekeleza nia yao ya kuufanya uislam uwe juu ya imani zingine na ikibidi hata utumiaji wa nguvu.
Fikiria kisingizio cha mfumo kiristo, Haiingii akilini mfumo huo utoe raisi mwislam pamoja na makamu wake, pia raisi na makamu wawili wa zanzibar wote waislam bila kusahau mawaziri wa pesa, ulinzi, mambo ya ndani, elimu na wakuu wa idara zote nyeti za serkali wote wakiwa ni waislam, halafu mtu mzima anasimama mbele ya umati wa watu kulaani kuwepo mfumo kiristo unaokandamiza waislam???????
Napenda kukumbusha kuwa, Misri ilikuwa nchi ya Kikristo iliyotekwa na waislam. wakati nchi hiyo inapata uhuru bado kulikuwa na idadi kubwa ya wakiristo wakiishi vizuri kwa amani na ndugu zao waislam, hata bendera yao baada ya uhuru ilikuwa na alama za msalaba na mwezi. Jinsi miaka ilivyoenda idadi ya waislam iliongezeka na madai yao pia kuongezeka hadi inchi ikatangazwa kuwa ya kiislam na dini zingine kupewa second class status. Hivi leo wakiristo wa misri wako kwenye mateso, makanisa yanachomwa, wanauwawa na hawaruhusiwi kushika nafasi yoyote ya uongozi juu ya mwislam
Kwa maoni yangu maadam waislam wa nchi hii wameshaanza hizi propaganda, basi Tanganyika hatuko mbali kufikia experience ya Misri au nchi zingine za kiafrika zenye mchecheto wa kiislam. Bahati mbaya hatuna tena charismatic leaders kama JKN wenye uwezo wa kukemea hizi dalili ovu.