JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO

JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO

Tatizo la walio wengi mnajadili kwa hisia!

Ukweli ni kwamba JK anateua watu kwa kutegemea "SIFA" kuu mbili (1) Urafiki (2) Udini ... PERIOD...

Fanya UTAFITI MDOGO TU kati ya watu 20 aliowateua JK between Dec 2010 - April 2011 wakoje naye au wana IMANI zipi za ki-DINI?

Ajenda ya U-Dini imekuwa "perpetuated" na JK mwenyewe na itamtafuna yeye mwenyewe!

wana JF, Haya mambo ya udini tumekuwa tukiweka mizaha lkn ipo siku tutalia kifo cha kusaga meno! Kwangu mimi nachukua nafasi hii kumpöngeza Prof Mshoro na hasa wazazi wake kwa kuwekeza kwenye elimu. Kwa mji wa Tabora ambao wenyeji wengi wa pale hawakujali elimu dunia na kujishughulisha zaidi na elimu za kiimani. Sikusudii kusema zile imani wengi mnaoziamini tu. Mji wa Tabora ni miongoni mwa miji mikongwe sehemu kubwa ya wakazi wake wana amini dini za kale kama maswezi, migabho nk. Ni nadra sana kupata wasomi wawili wazuri tu kutoka kwenye familia moja kama ya Arehemu Sheikh Mshoro wa pale Mwanza Road. Hawa jamaa Idrisa na ndugu yake yule pamoja na kutoka kwenye familia ya sheikh kwa wanaowafahamu watakubaliana na mimi kuwa walishaasi huo 'uislamu' Prof tumepiga naye maji pale Survey kuanzia Mikoroshoni Bar kwa mama nguruwe hadi Tamarilo pale nyuma penye umaarufu fulani. Mshoro TRA ndiye mmiliki wa baa zote pale zenye jina la RUFITA kuanzia pale Sinza Mori siku hizi maarufu kama Big Ben hadi kule Kinyerezi bila kusahau ile bendi ya Banza Stone, Rufita Connection. Uko wapi udini wa kina Mshoro hapa zaidi ya sisi humu ndani ambao udini ni kwa yule ambaye ni mtu tofauti na dini yako. Tanzania tunaletewa dini nyingine muda mfupi ujao itakuwa na mashabiki wengi ambao hata msahafu wa dini hiyo hawajawahi kuuona na bila shaka kiongozi wa dini atatoka humu JF kama sio Chama cha Magamba!

Umepost via mobile...sijaiona sehemu ya "kupenda" but I can simply say "Umemaliza"

Wewe ndio umeelewa ulivyooelwa na hao wenzio wengine wote ni kina nani? Soma maelezo ya rangi nyekundu hapo chini aliyaandika nani? Acha kujifanya wewe Mwalimu Mkuu wa kuwasemea wengine!

Wapi palipoandikwa kuwa Mshoro anahama kutoka Ardhi kwenda Tirdo? Wewe ndo umeelewa hivyo, wenzio wengine wote wameelewa inavyopaswa kueleweka.

Salaam wanajamvi,
Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu.

Kabla ya hapo Prof. Mshoro alikuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi, uteuzi ambao pia ulifanywa na JK mwaka 2007.
Nawakilisha.

Wewe ndio umeelewa ulivyooelwa na hao wenzio wengine wote ni kina nani? Soma maelezo ya rangi nyekundu hapo chini aliyaandika nani? Acha kujifanya wewe Mwalimu Mkuu wa kuwasemea wengine!

Sasa mbona unaji-contradict mwenyewe....? Mtu akisoma comment zako moja baada ya nyingine ndani ya thread hii.....mhhhhh. Haya bwn tuyaache. Siwezi kuendeleza malumbano kwa sababu hilo halikuwa lengo langu kuanzisha uzi huu.

Kama wewe umeelewa hivyo ulivyoelewa endelea kuelewa hivyo, sijamsikia hata mmoja aliyeelewa kwa namna ulivyoelewa wewe. We ndo "mwerevu" kuliko wote humu jamvini....? Endelea na "werevu wako". Wenzako wote wamenielewa vile nilivyodhamiria wanielewe.

Vijana wa kiislam Tanzania wanahitaji kuthaminiwa na kuona matunda ya miaka 50 ya uhuru wa nchi yao.

Napendeka wanafunzi wote wa vyuo (waislam na wakristu) wafanye maandamano nchi nzima ya kumpongeza Mh Rais Dr JK kwa uteuzi huu.

Join Date : 16th April 2011
Posts : 37
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

wee gamba jipya au la zamani????..... Pumba zako za kizamani ajabu

Huyu si fisadi mwenzake hana akili kabisa
aliteuliwa na huyo huyo kutatua matatizo ya atcl wakawa wanalipwa doller 100 kwa kufika atc na kwenda tcaa demn 'him mwisho wa siku ripoti ikaishia kwenye kabati za familia ya bwa na bibi (mjomba wake mkulu) ambae sasa ni waziri wa elimu ..unaweza jua shuguli iliopo....uko!!!

Na inasemekana walikuwa wakifanya kazi pamoja katika idara moja.....; huyu mteuliwa wa sasa na huyo hapo kwenye nyekundu.....; ambaye amekuwa akipewa manafasi nyetinyeti, akiboronga huku anahamishiwa kunono kwingine, na hajawahi kukemewa pamoja na miborongo yote hiyo, badala yake wachapakazi kama akina Dr. Kilevi Mafunguo ndo wanafokewafokewa ovyo hadharani na kufungwa luku, kisa...! Atanifunika.

Wengine humu ni wivu kwa Prof...

Wengine ni Udini ...hongera Prof. Chapa kazi achana na wana JF wenye wivu na wadini (utawajua kwa comment zao) kisa jina lako na siyo ufanisi wako..shame on them...

Tutafika tu...tuendelea

Acha umbea na udaku
Salaam wanajamvi,
Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu.

Kabla ya hapo Prof. Mshoro alikuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi, uteuzi ambao pia ulifanywa na JK mwaka 2007.

Nawakilisha.

Prof Mshoro ni mmoja ya maprofesa wa ukweli wa mechanical engineering. Kwa waliobahatika kufundishwa naye wanajua hilo...nashauri tuache udini kama tunania njema na Tanzania...tuwe tunaangalia uwezo wa mtu.

Ok Raisi ni Muislamu sawa kateua Muislamu, lakini jamani mbona Wakristu tumepata nafasi pia miaka ya nyuma , tuwape nafasi na wenzetu nao , tuone uwezo wao, kama utakua mbaya au mzuri maamuzi ni yetu, sioni tatizo hapo . Kwa mwenye imani ya dini sikuzote lazima atatetea upande wake, haswa ukzingatia unakua na imani kwamba dini yako ndio ya Ukweli na haki, huo ndio ukweli wenyewe, tuangalie zaidi utendaji wa huyo ndio tufagilie au tulalamike.

Hilo la udini cdhan km ni ajenda kuu, hebu 2zungumzie ufanic wake ktk kaz na historia yake ktk majukumu ya kazi, je anafaa ktk nafas aliyowekwa?. Thats ol!!.

Salaam wanajamvi,
Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu.

Kabla ya hapo Prof. Mshoro alikuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi, uteuzi ambao pia ulifanywa na JK mwaka 2007.

Nawakilisha.

Prof Mshoro anafaa na ana uwezo wa hali ya juu. Hongera Prof.

Kwani kosa liko wapi hapo ? kwani muisilamu hana haki ndani ya nchi hii ya Tanganyika ? kweli hapo ndio nakubaliana na mashekh wanaposema mfumo kristo ndio unatawala Tanganyika maana uteuzi wa mtu mwenye jina la kiisilamu tu munapiga kelele, mbona wakiristo muna roho ya husda kisi hicho ? hakuna mulilonalo ila ni kuwapiga vita waisilamu Tanganyika na duniani kote kwa ujumla kumbukeni yana mwisho hayo.

Mkuu hapo kwenye red ni kinyume chake, nadhani hujui au unajaribu kudanganya juu ya dhuruma ya uislam kwa wakiristo.

Somalia: Muslims murder convert from Islam to Christianity
New Christian Convert from Islam Murdered in Somalia, from Compass Direct News, April 20:
Two Muslims in Somalia on Monday (April 18) murdered a member of a secret Christian community in Lower Shabele region as part of a campaign to rid the country of Christianity. An area source told Compass two al Shabaab militants shot 21-year-old Hassan Adawe Adan in Shalambod town after entering his house at 7:30 p.m.

Nigeria: Charred bodies line road as Muslims rampage after Muslim presidential candidate loses election
Charred bodies line road to Kano after riots sweep region after presidential vote, from the Associated Press, April 19.
Smoke rose above this city in Nigeria’s Muslim north where rioting broke out again Tuesday after opposition muslim protesters in the region set fire to churches and homes when official results from the national election showed that the Christian incumbent had won the vote.

Egypt: A non-Muslim should not rule over Muslims:
Egypt protests against Christian governor continue, by Mariam Fam for Bloomberg, April 20.
Protesters in the southern province of Qena some blocking a railway line, are demanding the resignation of a Christian governor....
“A non-Muslim should not rule over Muslims,” Mohammed Hamza, a 29-year-old who has been participating in the demonstrations, said in a telephone interview from Qena. “This guy could be shot at if he shows up here.”

to me hii ya kusema professor hainiingi akilini coz most of them ni wazee wa nadhari na failures, ndio maana profesa mzima anafuga ng'mbe kinondoni au ubungo

nadhani kuna gap ya kujua kwamba usomi na uprofesa ni tofauti na kwa wenzetu waweza ukawa profesa una degree mbili

i dont think tanzania inahitaji maprofessor kwenye sekta ya maendeleo maana wengine wakuna ni profesa wa algebra anapewa wizara ya sayansi, wakati wizara inahitaji strategist na sio bundi au bookworm

Kaka hauhitaji kutumia nguvu mno kujisafisha. Umujivua gamba nasi tumepata kujua wewe ni muons gain. Huu ni upande wa pili wa jamii forum. Tunajuana....

Hakuna cha vetting, uzee wala uprofessa. Kwako wewe ni tatizo kusikia mwenye jina la kiislamu amepata nafasi ya uongozi kwani fikra zako zimeganda katika udini.

Kwa hiyo na wewe unaamini kuwafanyia Kama hayo waislamu Tanzania ni halali na ni sawa?

Mkuu hapo kwenye red ni kinyume chake, nadhani hujui au unajaribu kudanganya juu ya dhuruma ya uislam kwa wakiristo.

Somalia: Muslims murder convert from Islam to Christianity

New Christian Convert from Islam Murdered in Somalia, from Compass Direct News, April 20:

Two Muslims in Somalia on Monday (April 18) murdered a member of a secret Christian community in Lower Shabele region as part of a campaign to rid the country of Christianity. An area source told Compass two al Shabaab militants shot 21-year-old Hassan Adawe Adan in Shalambod town after entering his house at 7:30 p.m.

Nigeria: Charred bodies line road as Muslims rampage after Muslim presidential candidate loses election

Charred bodies line road to Kano after riots sweep region after presidential vote, from the Associated Press, April 19.

Smoke rose above this city in Nigeria’s Muslim north where rioting broke out again Tuesday after opposition muslim protesters in the region set fire to churches and homes when official results from the national election showed that the Christian incumbent had won the vote.

Egypt: A non-Muslim should not rule over Muslims:

Egypt protests against Christian governor continue, by Mariam Fam for Bloomberg, April 20.

Protesters in the southern province of Qena some blocking a railway line, are demanding the resignation of a Christian governor....

“A non-Muslim should not rule over Muslims,” Mohammed Hamza, a 29-year-old who has been participating in the demonstrations, said in a telephone interview from Qena. “This guy could be shot at if he shows up here.”

Acha udini angalia taaluma na uwezo wa kazi. Udini, ukabila, rangi mwazo finyu!

Mtoa hoja hakuwa na mtazamo wa udini ila mchangiaji mmoja tu na amekemewa vilivyo nadhani ni kibaraka wa CCM
Hapa tunajadili CV na c dini. Hakuna mtu anayeweza kuwagawa watanzania kwa kigezo cha UDINI :A S 465:

Sio kweli kuwa ni mchangiaji mmoja tu. Angalia trend ya post za mwanzo. Ni wengi na kama wasingetokea watu makini kukemea hilo basi ni dhahiri wengi wenu mngendelea na mitazamo mgando hiyo.*

Na huu kuwa waliosema hayo ni vibaraka wa CCM ni mwendelezo wa denial strategy ya wapenzi na washabiki wa Chadema eti Tanzania hakuna udini na wala hawakudandia udini kufaidika kisiasa. Hili litawamaliza kama lilivyowamaliza CUF na sasa CCM na ufisadi ambapo mwanzoni walikumbatia denial strategy.

Hivi toka lini MTM, Mzito kabwela, King of kings, Carmel *na hao wengine hapo mwanzo wamekuwa washabiki wa CCM na sio Chadema?

Jaman tuacheni kuleta udini bwana.

Mimi nafikiri watanzania wameanza kuhisi kuna udini kutokana na kauli za viongozi wa nchi na namna hata kampeni zilivyoendeshwa.. Pia uteuzi katika wizara nyeti umeleta utata ambao wananchi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi, mfano wizara ya fedha, ulinzi, mambo ya ndani, bosi wa usalama wa taifa, wakurugenzi wa mashirika nyeti ya umma n.k. Inawezekana kabisa mkuu wa nchi ana mtazamo wa kusimamia utaalamu na uzoefu wa wanaochaguliwa, ila aangalie pia kauil zake, kauli za viongozi wengine, akiwemo makamu wa Rais (ambaye amekuwa akitoa ahadi tata kwa viongozi wa dini) na mianya mingine ambayo inawafanya watanzania kuufikiria udini badala ya kufikiria utaalamu na uzoefu.

Hali kadhalika, viongozi wa dini nao wanachangia sana kuleta mitizamo ya udini katika teuzi hizo pale ambapo dini fulani inaamua kujiona muhimu kuliko zingine na kuanza kutoa demands za ajabu zenye misingi ya kidini zaidi kwa seriakali na midahalo isiyoleta tija kwa taifa.

Mungu ibariki na kuilinda Tanzania.

Back
Top Bottom