Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Mbowe, kitendo cha huyo "Mtakatifu" Yahya kuleta vitisho vya mara kwa mara kwa manufaa ya Wakubwa ndiyo unyenyekevu unaozungumzia? <br />
Anyway, Marehemu hana sifa mbaya...
Majini ni viumbe. Kama ukisema Bin-adam.Pole maalim,ila maliim Hao majini wema ndo wanafanya kazi gani na watakuwa mbinguni au kwa shetani?
Kwani ungechangia mchango wako tu kwenye hii mada bila kusema unaishi wapi ungepungukiwa na nini? wapo wanaoishi magomeni lakini hawajui lolote kuhusu huyu mchawi Sheikh Ubwabwa.
Sawa nyota yako Nguruwe=Samaki. Tafauti hapo ni majina ....kwa Wachina ndio wanaita Nguruwe.:bange: Maalim, nyota yangu nguruwe naomba unitabirie :bange:
Kwani ungechangia mchango wako tu kwenye hii mada bila kusema unaishi wapi ungepungukiwa na nini? wapo wanaoishi magomeni lakini hawajui lolote kuhusu huyu mchawi Sheikh Ubwabwa.
Mahala vipi?shirk mahala pake ......
Thank you in advance!Pole Maalim Jumar.
"Al-Ladhna 'Idh 'Abat' hum Mubatun Ql 'Inn Lillhi Wa 'Inn 'Ilayhi Rji`na".
Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.
Baqarah: 156
Itno...!mtabiri wa nyota anafanya kazi hiyo kwa nguvu gani? ilm gani inamsaidia kutabiri?
sio waislamu wote wenye tabia hizo za kufuga majini nma kuyanyenyekea,mamangu muislamu na hana tabia hizi ni wachache kama marehemu na wafuasi wake kina maalim juma ndio wanaowachafua wenzao na maushirikina yaoMaalim Jumar, mimi huwa sielewi kwa nini waislamu mnapunga majini na kufata masharti wanayoyataka kama kuvaa nguo nyeusi nk? tofauti na wakristo sisi tunayakemea kwa jina la yesu na kuyafurumishia mbali yatoke.
kwa nini mayatukuza? ukiwa kama mtaalamu wa majini una ufafnuzi wa hilo? sina nia mbaya ni swali tu. Pengine huwa tunawaelewa waislamu ndivyo sivyo. Nawapenda sana waislamu, niliobahatika kuwa nao karibu ni wakarimu mno ishu inakuja kwenye swala la kunyenyekea mapepo.
RIP Sheh Yahaya
kufa kila mtu atakufa, na si vyema kumhukumu aliyetangulia. Kwani uzima ni wa Mungu na kifo ni kazi yake. Kuhusu kuanguka kwa jk cdhani ni vyema kuhusisha na ushirikina, kwani hata Dr Slaa alianguka, na akavunjika na mkono, na hiyo tuiteje?, sihani kama tutakuwa tunaendeshwa na hisia na kuropoka itatufikisha kwenye ukombozi na ushawishi tunaoutaka. Wafaham kama mbowe alikuwepo kwenye msiba? Jiulize Sheikh yahya nani asiyemfaham ? Siasa ni watu. Usitoe maneno ya kuwafanya baadhi ya watu watilie shaka mtazamo wako.
rz 1?au nani?
Heri hata umemjibu mana jamaa kaeleza vizuri but huyo mwenye post anajibu harshlyNdugu Matola mbona siyo majibu mazuri kwa mchangiaji mwenzio? sidhani kama unahaja ya kuzodoana, hapa jamvini kwani sote tunajenga TZ yetu kwa uhuru na umoja,
je kunakitugani kimekuudhi hata ukamsopisha kwa ukali hivyo? unadhani amejiona kuwa nje ni ujiko zaidi ya wale walioko nyumbani?
Hekima yamtu iko kwenye ulimi wake mbele ya wengine.
Ahsante Leonardo.Maalim Jumar, mimi huwa sielewi kwa nini waislamu mnapunga majini na kufata masharti wanayoyataka kama kuvaa nguo nyeusi nk? tofauti na wakristo sisi tunayakemea kwa jina la yesu na kuyafurumishia mbali yatoke.
kwa nini mayatukuza? ukiwa kama mtaalamu wa majini una ufafnuzi wa hilo? sina nia mbaya ni swali tu. Pengine huwa tunawaelewa waislamu ndivyo sivyo. Nawapenda sana waislamu, niliobahatika kuwa nao karibu ni wakarimu mno ishu inakuja kwenye swala la kunyenyekea mapepo.
RIP Sheh Yahaya