Mwanakijiji nakupongeza kwa hili,,yaani najiuliza kwa nini watu kama nyie kwa nini msipewe hata uwaziri mje kutufumbua macho uozo wa serikalini,,najua hutokuwa mtumwa wa mafisadi kuruhusu watumie pesa zetyu ovyo,,
Mimi sina cha kumpongeza hata kimoja katika hili maana hapa inaonyesha wameamua kumtoa kafara balali,,,ila kuna mambo najiuliza aliyosema mwanakijiji,,huyu muungwana kadai ametengeua na hajatoa sababu za kutengua ama kaiba anaumwa nk?tukumbuke huyu bwana yuko uko dc na kabla ya muungwana alishaandika barua ya kujizulu,,na kwa kuwa muungwana ndie mwenye kuteua labda ametengua baada ya kuona barua yake ya kujiuzulu,,bado anatuunganishia na uchafu wa BOT wahusika washugulikiwe hapa najiuliza
1))Huu utenguzi ni kutokana na swala la BOT au AFYA ya FISADI"
" BALALI"
2))Hao waandishi waliokuwepo kweli wameshindwa kuuliza swali kama hili
baada ya kuambiwa vyombo kadhaa kushugulikia ubadhirifu uliopo,,au ndio walipewa bahasha kabla ya kutolewa utenguzi???
3)BADO NAJIULIZA KAMA WANA JF WALIOPITA HAYA MAKAMPUNI HAYAKUWA YAMESAJILIWA NA NATUMAINI BALALI ATATUELEZA MENGI SANA JAMANI,,JE KUNA UWEZEKANO WA KUPATA HIZO HELA???NA ZITATOKEA MAKAMPUNI GANI??KAMA YALIOKUWEPO NI FEKI
4))BADO INANITATIZA KIDOGO BODI ICHUNGUZE THEN WAT??????KAMA WALIOKUWAPO KWENYE
BODI WAPO HUMO NDANI UNAFIKIRI KUNA LOLOTE LINALOWEZA KUTOKEA????
NINA BODI NYINGI ZIMEWEZA KUCHUNGUZA BILA KUFANYA LOLOTE BAADA YA MATOKEO ...HAKUNA REACTION YOYOTE ZAIDI YA MCHANGA WA MACHO...TENA WAKOME KUFANYA WATANZANIA MAMBUMBU,,,,