ni kweli kabisa Mwkjj, ila hata kama captain kafunga goli ukweli unabakia kwamba referee ndio mwamuzi wa mwisho, kwa hiyo sisi wananchi ndio refeeree (kama tukiungana kwa msimamo); hii ndio kusema huu ni mwanzo wa kuendelea kumshinikiza achukue hatua zaidi, mfano mzuri ni ukweli kwamba hatua hii iliyofikiwa SI JUHUDI ZA JK, bali ni JUHUDI ZA WAPINZANI NA WANACHI WENGINE WAPENDA MAENDELEO.
sasa basi kama ameshinikizwa akafikia hiyo hatua, na kwa kuzingatia kwamba baada ya madai ya upinzani bungeni serikali walikanusha vikali, niwazi kwamba mawazo yako yanatakiwa yapewe msukumo na wananchi waeleweshwe, kwa kufanya hivyo kila kitu kitashughulikiwa kama ulivyodokeza.