habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
wauwaji wanataka serikali nyiiiiiiiingi ili yapate kula kodi za wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja kutoka ndani ya kikao cha Baraza la Kikatiba la Halimashauri Kuu ya CCM ambalo linapitia vifungu vya rasimu ya Katiba Mpya, Rais Kikwete amewataka makada wenzake kujiandaa kwa lolote kama ilivyotokea mwaka 1992.
Rais Kikwete alitolea mfano wa ujio wa vyama vingi mwaka 1992 ambapo idadi kubwa ya wanachama wa CCM walikataa mfumo wa vyama vingi lakini mfumo huo ulipita.
Chanzo: TDaima.
nguvu ya umma ipo ccm mana ndio yenye wabunge 251 huku machadema yana viwabunge 23 tu, hongera ccm kwa kuwa ndio nguvu ya umma halisi
Acha umbulula wewe nguvu ya Umma sio viongozi ni wananchi kwa Umoja wao as single entity na viongozi ndani yake sio viongozi na hapo ndipo mnapokoseaga ccm na mpaka leo hayo makosa mnayafanya na yanazidi kuwagharimu.....Umm au Tz sio viongozi pakee wewe
Kama ni uongo walicho andika CCM na hasa JK akanushe au waende mahakamani .Kwani kuna ubaya gani na serikali 3 ?
usipoteze pesa yako kununua udaku huu, ni bora kabisa ununue uwazi au kiu au sani au ijumaa
habari ya kutuletea toka tanzania daima usirudie tena hilo gazeti huandika tarifa za udaku na kibavicha kama tujuavyo habari za kibavicha huwa hazina maana daima,
Povu lanini ndugu,,,,!!
tangu lini tanzania daima likawa na tarifa ya maana ,
Atakubali nani? kwanza watanzania wengi hawataki serikali tatu. wanataka serikali moja tu kuimarisha muungano wetu
Serikali 1 hapo umeongea, hatutaki mizengwe ya serikali mbili; ila sidhani kama watz wa visiwani watakubali, kama hawataki serikali 1, no way out itabidi tuwe na serikali 3.
bye bye ccm kuleni vya mwisho mwisho ndo wanaondoka :wave::wave:
habari ya kutuletea toka tanzania daima usirudie tena hilo gazeti huandika tarifa za udaku na kibavicha kama tujuavyo habari za kibavicha huwa hazina maana daima,