JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

wauwaji wanataka serikali nyiiiiiiiingi ili yapate kula kodi za wananchi
 
naunga mkono msimamo wa ccm wa serikali mbili tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
usipoteze pesa yako kununua udaku huu, ni bora kabisa ununue uwazi au kiu au sani au ijumaa
 
nguvu ya umma ipo ccm mana ndio yenye wabunge 251 huku machadema yana viwabunge 23 tu, hongera ccm kwa kuwa ndio nguvu ya umma halisi

Acha umbulula wewe nguvu ya Umma sio viongozi ni wananchi kwa Umoja wao as single entity na viongozi ndani yake sio viongozi na hapo ndipo mnapokoseaga ccm na mpaka leo hayo makosa mnayafanya na yanazidi kuwagharimu.....Umm au Tz sio viongozi pakee wewe
 
huu uongo wa chadema unamwisho wake propaganda zao haziwezi kudumu daima fumbo mfumbie mjinga mwelevu atalibaini .
watanzania walishawajua chadema kuwa siyo lolote wala si chochote.
 
utaishia kutukana wenzako wanafanya kazi bavicha na matusi yao uvccm na watanzani.
 
Kama ni uongo walicho andika CCM na hasa JK akanushe au waende mahakamani .Kwani kuna ubaya gani na serikali 3 ?

we kama unaona serikali tatu haina ubaya, usilazimishe Mwenyekiti wa CCM akubali mfumo wenu huo. baki na msimamo wako na tutakutana kwenye mchakato
 
habari ya kutuletea toka tanzania daima usirudie tena hilo gazeti huandika tarifa za udaku na kibavicha kama tujuavyo habari za kibavicha huwa hazina maana daima,

Povu lanini ndugu,,,,!!
 
Atakubali nani? kwanza watanzania wengi hawataki serikali tatu. wanataka serikali moja tu kuimarisha muungano wetu

Serikali 1 hapo umeongea, hatutaki mizengwe ya serikali mbili; ila sidhani kama watz wa visiwani watakubali, kama hawataki serikali 1, no way out itabidi tuwe na serikali 3.
 
bye bye ccm kuleni vya mwisho mwisho ndo wanaondoka :wave::wave:
 
Serikali 1 hapo umeongea, hatutaki mizengwe ya serikali mbili; ila sidhani kama watz wa visiwani watakubali, kama hawataki serikali 1, no way out itabidi tuwe na serikali 3.

kama hawatakubali serikali moja bora tubaki na mfumo wa serikali mbili. serikali tatu kama wanavyotaka CHADEMA na CUF ambavyo vyote ni vyama vya kiliberali ni majanga
 
kwa sasa chadema kila mtu mbea kuanzia gazeti lao,bavicha,bawacha,mpaka kwa mwenyekiti na katibu wake make kwa sasa kila mtu anabuka na lake.
 
kwa sasa chadema kila mtu mbea kuanzia gazeti lao,bavicha,bawacha,mpaka kwa mwenyekiti na katibu wake make kwa sasa kila mtu anabuka na lake.
 
habari ya kutuletea toka tanzania daima usirudie tena hilo gazeti huandika tarifa za udaku na kibavicha kama tujuavyo habari za kibavicha huwa hazina maana daima,

We unafikiri Uhuru na Mzalendo wanaweza kuandika Habari Chungu kama hiyo kwa Magamba ???
Na Bado....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…