JK jitokeze Usema chochote, Polepole ni kijana wako uliyemtengeza Mwenyewe

JK jitokeze Usema chochote, Polepole ni kijana wako uliyemtengeza Mwenyewe

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni bepari. Toka useme kitu kuhusu huyu kijana tafadhali! Ukimya wako unatupa mashaka na kuonekana aliyosema yote poleple ni kweli nachojua kwenye Familia mtoto mkorofi hakosekani kwenye familia ndo huyu Polepole toka mzee Wangu JK useme kitu mtoto akinyea mkono huwezi kuukata JK ni mlezi wa vijana wengi au umetengeneza vijana wengi akiwepo na Polepole
 
JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anakubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni bepari. Toka useme kitu kuhusu huyu kijana tafadhali
JK ni mmoja wa paymasters wa Mafwele na timu ile haramu ya wauaji, unatarajia aseme kitu gani.
Kuna kitu kingine ambacho huwa ninakihisi, ili aendelee kula pesa vizuri Mafwele kuna scenarios huwa anazitengeneza either kuwatia ‘jambajamba’ kwamba bila operations zake wote(team mtandao and their immediate family members) maisha yao katika utawala yako hatarini au kuna aina ya blackmail anawafanyia kwani inaonekana kama hao viongozi wanamuogopa na hakuna mwenye uwezo wa kum-control.
The situation is escalating na hakuna anayejua kesho itaibua jipya gani.
 
ajitokeze huyo ni kijana wake kabisa na Polepole amekua anakili ilo mara kwa mara
 
Back
Top Bottom