JK ni mmoja wa paymasters wa Mafwele na timu ile haramu ya wauaji, unatarajia aseme kitu gani.JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anakubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni bepari. Toka useme kitu kuhusu huyu kijana tafadhali
ajitokeze huyo ni kijana wake kabisa na Polepole amekua anakili ilo mara kwa maraJK ni mmoja wa paymasters wa Mafwele na timu ile haramu ya wauaji, unatarajia aseme kitu gani.
Kuna kitu kingine ambacho huwa ninakihisi, ili aendelee kula pesa vizuri Mafwele kuna scenarios huwa anazitengeneza either kuwatia ‘jambajamba’ kwamba bila operations zake wote(team mtandao and their immediate family members) maisha yao katika utawala yako hatarini au kuna aina ya blackmail anawafanyia kwani inaonekana kama hao viongozi wanamuogopa na hakuna mwenye uwezo wa kum-control.
The situation is escalating na hakuna anayejua kesho itaibua jipya gani.
Hata Mafwele aliyemteka Polepole ni kijana wa Kikwete, hapo kijana wake kamteka kijana wake je nani anamuhitaji na kumtegemea zaidi kati ya vijana wake hao wawili?ajitokeze huyo ni kijana wake kabisa na Polepole amekua anakili ilo mara kwa mara