JK kweli anapenda masuala laini laini...........kama kupanda miti.............

JK kweli anapenda masuala laini laini...........kama kupanda miti.............

kiduku+jk.jpg

mmh anapenda shughuli hizo za maana wala hayuko kabisa,aaaya wee onyesha unavyojua kucheza mabreka.
 
Jana nilibahatika kumuuliza kama amewahi kupita hapa Jamii Forums Where We Dare to Talk Openly, akaniambia hajawahi kupita hapa. Pia, akaongeza kwamba wasaidizi wake hawajawahi kumwambia kuwa hili jamvi lina exist!!

si rahisi nadhani anaficha aibu
 
Hawa jamaa ni wasanii tu wameshindwa hata kuleta watering-can ya kumwagilia maji badala yake wanatumia glass za kunywea maji kumwagia huo muembe wao!! Utani mtupu kama vile wanavyocheza kiduku!

Duh ukiwa hauna mwelekeo wasaidizi nao wanakulengeshea tu. aibu kumwagilia kwa glass. Kilimo kwanza!
 
hivi kwa nini nilimpa huyu jamaa kura yangu 2005???? nahisi ndio kura iliyoifikisha nchi yangu hapa.... NAJUTA SANA

Miye sikumpa, ila kina mama walisema ni handsome ndio maana walimpa. kwa mfumo wa sasa hata kuku atashinda urahisi. usijute sana.
Tuendelee na madai ya katiba ya wananchi.
 
Mwanaume unapanda mti ukiwa umepiga magoti kwenye mkeka!!!!!!!!!.........my my my, hakuna mende karibu? he heh hee
 
Lini Mtu mpenda ngoma akaweza kupenda vitu vigumu?
Hapa anaonekana yuko Serious kwelikweli, "kata kata , kata mwanangu kata! kiuno chako mwenyewe.....! wala hukuazima ......"
 
Back
Top Bottom