tama
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 602
- 71
mmh anapenda shughuli hizo za maana wala hayuko kabisa,aaaya wee onyesha unavyojua kucheza mabreka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daima mungu hawezi kukunyima kila kitu. Jk nchi imemshinda lakini mungu kamjalia ufundi wa kucheza KIDUKU
Jana nilibahatika kumuuliza kama amewahi kupita hapa Jamii Forums Where We Dare to Talk Openly, akaniambia hajawahi kupita hapa. Pia, akaongeza kwamba wasaidizi wake hawajawahi kumwambia kuwa hili jamvi lina exist!!
kiongozi wenu...mi simo
!
Hawa jamaa ni wasanii tu wameshindwa hata kuleta watering-can ya kumwagilia maji badala yake wanatumia glass za kunywea maji kumwagia huo muembe wao!! Utani mtupu kama vile wanavyocheza kiduku!
hivi kwa nini nilimpa huyu jamaa kura yangu 2005???? nahisi ndio kura iliyoifikisha nchi yangu hapa.... NAJUTA SANA
Hapa anaonekana yuko Serious kwelikweli, "kata kata , kata mwanangu kata! kiuno chako mwenyewe.....! wala hukuazima ......"Lini Mtu mpenda ngoma akaweza kupenda vitu vigumu?
Simpendi huyu kiongozi wetu