JK na maadili ya viongozi

JK na maadili ya viongozi

Mimi nafikiri ni hatua nzuri ambayo itawafanya watu wachague moja kati ya biashara na utumishi wa umma. Ilivyo sasa ni kwamba wengi wa hawa viongozi ni managing directors kwenye kampuni zao na wanahakikisha wanatenga muda wa kutosha kutoka katika muda wa utumishi kuhudumia biashara zao. Mara nyingine hujaribu kuhakikisha kwamba biashara zao hizo ndizo zinapata kandarasi nono ambayo ndiyo hiyo inaitwa conflict of interest. Kilichopo ni kwamba hata hao viongozi-wafanyabiashara wagundue kwamba kuna mgongano na wampunguzie kazi Rais kwa kujing'atua kabla. Najua itakuwa ngumu kwa utamaduni wa kiafrika na hasa unapokosa mpaka maalum wa biashara gani haziruhusiwi na zipi zina sifa na hadhi aliyoitaja. Viongozi walio chini yake nao wan changamoto ya kumsaidia katika kufikia ndoto hii.
 
Mbopo sitaki kuamini maneno yako haya ila naona kwamba itakuwa tu njia ya wengu kujisafisha .Akiacha kazi ikafanywa na mwingine bado ana uwezo wa kulazimisha tenda iende kwa hao ndugu zake wanao endesha kampuni na hapa watakamua sana sana na hapatakuwa na madhara mwishoni kwa kuwa si wao walioko Brela na hapa ujinga utakuwa mwingi sana .Kwa mfano naacha kampuni nampa mwanangu ama mke wangu kipi kitanizuia mimi kulilia tenda na akaichukua mke wangu wakati nina jua itakuwa nje ?
 
Nadhani mimi nimeelewa kwamba Mbunge au Waziri huyo muhusika hatakuwa active participant kwenye biashara, shughuli hiyo yake!!! anaendelea kumiliki... etc... lakini sio CEO, COO... and probably not chairman... (hili la chairman sijui)... lakini asijihusishe na uendeshaji wa biashara in terms of day-2-day operations....

Nadhani RA ameliweka vizuri zaidi kwenye magazeti ya end of the week. Nadhani nimesoma Ndesamburo amesema atawaachia say Ndugu zake wazi-run...

In terms ya kujua wanajihusisha kwa karibu na biashara hiyo ni jambo rahisi kwa wanasiasa... si wanaonekana!!!

I like the statement from Karamagi quote from Nipashe

``Hii hoja nzuri kama katika biashara zako wewe ndiye Mkurugenzi Mtendaji, Ofisa Mtendaji Mkuu, bila wewe kazi haziendi, pia ni kiongozi wa Serikali, ni lazima uchague moja ,`` alisema.

Kasheshe,

Asante na kama itakuwa hivyo mimi naona ni jambo zuri. Kwanza hao wabunge na mawaziri wanapata wapi muda wa kuwa CEO wa kampuni nyingine? Ndio maana wengi hawaonekani hata bungeni.

Mfano aliotoa rais wa kuweka mali chini ya trustees ndio ulinitia hofu.

Kwa UK kama nilivyosema inatumika kwa PM na wala yeye huwa hata haelewi hao trustees wa mali zake ni akina nani na wanachukua maamuzi yapi. Kwa TZ hili haliwezi kufanikiwa, hiyo kampuni itafilisika baada ya muda mfupi.

Pia kuwaondoa kabisa wabunge kwenye biashara ingeweza kuleta matatizo mengi kuliko faida. Wengi tunamfikiria Karamangi lakini shughuli za biashara ziko nyingi, kama nilivyosema kulima, kufanya kazi kwenye profession yako nk.

Lakini kama ni kuwa CEO au director, hilo mimi nilitegemea hata sasa iwe hivyo. Mambo ya spika wa bunge anakuwa director kwenye makampuni ni mbaya sana.
 
Mbopo sitaki kuamini maneno yako haya ila naona kwamba itakuwa tu njia ya wengu kujisafisha .Akiacha kazi ikafanywa na mwingine bado ana uwezo wa kulazimisha tenda iende kwa hao ndugu zake wanao endesha kampuni na hapa watakamua sana sana na hapatakuwa na madhara mwishoni kwa kuwa si wao walioko Brela na hapa ujinga utakuwa mwingi sana .Kwa mfano naacha kampuni nampa mwanangu ama mke wangu kipi kitanizuia mimi kulilia tenda na akaichukua mke wangu wakati nina jua itakuwa nje ?

Si vyema ku-negate kila kitu!!! by the way munasahau kwamba Rais anamaanisha tuchangia namna gani tunaweza kuondoa conflict of interest kwa undani wake...itakuwa mswada baadaye sheria

It is very disappointing kwamba Rais anataka kuondoa tatizo kimfumo... wananchi hawataki maana badala yake wanataka afanye-kimachinga...awaondoe mawaiziri leo wenye conflict of interest... kesho Rais akiwa Lipunda awarudishe tena... what are we advocating???
 
Lakini kama ni kuwa CEO au director, hilo mimi nilitegemea hata sasa iwe hivyo. Mambo ya spika wa bunge anakuwa director kwenye makampuni ni mbaya sana.

Mtanzania,

Muhimu tujue kwamba Rais amesema ataanzisha mchakato... so WaTanzania will have opportunity kuchangia na ku-fine tune...huo mswada kupitia kwa wabunge wetu...

so please do not expect kwamba Rais pre-emptive ajibu maswali yenu yote!!! Unless munataka Rais wetu awe dictator!!!
 
Ndugu,

Tusidanganyane hapa kuhusu maadili na kuundwa kwa tume hii. Kwa mujibu wa kumbukumbu, mwaka 1995 sheria ya uongozi na maadili ilipitishwa na Bunge. Je Marekebisho ya 2001 yalikuwa ni lugha pekee au kufuta vipengele muhimu? je nisababu gani zilisababisha vipengele kufutwa halafu tuundie kamati mpya kuunda sheria mpya?

Hakuna kilichokuwa na mapungufu katika muswaada na sheria hii bali ni ufuatiliaji na utekelezaji kutoka Serikali kuu na vitengo vingine vyote ambavyo vimetajwa katika sheria hii.

Unless mabadiliko ya 2001 yalifanywa ka makusudi ndio maana Mkapa na Yona wakajifungulia kampuni, Tangold, Meremeta na Kagoda zikachota na sasa twarudisha sheria ili kujisahihisha?

Huku kuundwa kwa kamati hii kuwe ni kwa ajili ya CCM kama hawana kitu kama hiki katika Chama chao. Lakini, sheria za nchi na Katiba si kubwa na madhubuti kuliko za chama? kwa nini CCM basi hawafuati Sheria za Nchi na katiba?

Naambatanisha sheria hii ya Uongozi na Maadili.

http://www.parliament.go.tz/Polis/PAMS/Docs/5-2001.pdf
 
Attachments

Kasheshe,
Ndugu zangu kwanza tulitazame swala hili kulingana na mazingira yetu na sio kufuata yanayofanyika nchi za nje hasa Marekani ama Ulaya kupata kuiga.
Nionavyo mimi haifai kabisa kwa kiongozi yeyote ku own kampuni achana na swala la ya watu ama watoto zao kuwa ma CEO hali order zote zinatoka juu kwa waziri. Ndio maana hata wizi mwingi nchini umekuwepo toka ngazi za viongozi ku own na sio kuwa ma CEO. Kina Karamagi wana own makampuni na wamewaweka washikaji kama sii watoto wao nafasi za CEO. Utata tuliokuwa nao unatokana na viongozi wetu ku own hizi kampuni na kuwapachika baadhi. Conflict of interest hutokea pale barua toka kwa mkuru kuamrisha tender apewe nani....Leo hii Ufisadi usizungumziwe ama majina yao kutopelekwa mahakamani.. it's about who own these companies na sio CEO..
Wenzetu nchi za Marekani kiongozi anaruhusiwa kununua hisa ndani ya kampuni yoyote (Public) ambayo haina mtu mmoja na vigumu kwa kiongozi huyo ku control monopoly ama kutumia wadhifa wake kwa sababu yeye ni mmoja kati ya wanunuzi wengi wa hisa. Hisa ni biashara ya pata potea ambayo hata maskini mimi naweza weka..
Hivyo kama kampuni zote hizi zingekuwa ktk soko letu la DSE na hawa viongozi wakanunua hisa zao huko Kagoda, Meremeta, bia ama sigara hapa pangekuwa hakuna utata lakini kulingana na hali yetu utaratibu huo hatunao, hivyo sheria ni lazima itazame tulichokuwa nacho.
Ni Azimio la Zanzibar lililobomoa kila kitu, hivyo marekebisho yoyote ya code of ethics yalikuwa kukidhi mahitaji ya Azimio hilo. Tumepata funzo na muhimu turudi back to the basis na kuangalia jinsi ya kupambana na Ufiadi huu.
Yote mloyasema ni muhimu na ukiangalia hatuwezi pata jibu murwa ikiwa Azimio la Zanzibar litabakia wazi kama Azimio la kitaifa hali ni Azimio la chama kimoja na limetuletea madhara zaidi ya mafanikio kitaifa.
 
Mkandara,

Nakubaliana na wewe kwamba mazingira ya TZ ni tofauti na West pia kwamba makampuni mengi ya West yako kwenye soko huru na hisa za wanasiasa ni chache sana. Lakini bado pamoja na uchache huo wanaweza kutajirika mno kwa kutumia nafasi zao za uwaziri maana wanaweza kupata information ambayo wakiitumia kwenye soko huru wanaweza kupata mamilioni. Ndio maana wenzetu wana hizo code of conduct na rules on conflict of interest ili kuzuia hayo.

Mfano mzuri kwa West kama wewe ni CEO au una nafasi ya kuiona annual report ya kampuni, basi huruhusiwi kuuza wala kununua shares kwa kipindi cha mwezi mmoja kabla ya kutoa AR. Maana kwa kujua nini kinakuja, unaweza kuuza au kununua na kupata faida kubwa.

Pia kuna wanasiasa wengi tu West wanamiliki kampuni ambazo haziko kwenye soko huru lakini na wenyewe wanabanwa na hizo code of conduct.

Ukisema wanasiasa wasimiliki makampuni, je utaishia wapi? unaweza kuwakataza wao na familia zao, je ndugu nao watakatazwa? kama mtu ni fisadi, atatoa tenda hata kwa ndugu, kama sio ndugu basi kwa rafiki.

Mimi naona njia nzuri kwenye hili ni kuhakikisha kiongozi ana declare interests zake kwenye jambo fulani na sheria za conflict of interest zinakuwa na meno. Kama kiongozi haja declare hizo interests zake kwenye jambo husika basi kuwe na adhabu kali ikiwemo kupoteza kazi yake.

Japo Azimio la Arusha lilikuwa na faida kubwa lakini pia lilikuwa na upungufu mwingi na kuwafanya watu wengi washindwe kutumia muda wa ziada kwa kufanya kazi au kufanya biashara na badala yake wakawa wanaishia kwenye ulevi. Kwa nchi kama TZ ambayo tuko nyuma kiuchumi, itakuwa makosa makubwa kuwakataza baadhi ya watu kushiriki kwenye kazi au biashara nje ya nafasi zao.

Nitaelewa kama rais na baraza lake la mawaziri watakatazwa lakini sio kwa kila mwanasiasa.
 
Mkandara,
.... Nitaelewa kama rais na baraza lake la mawaziri watakatazwa lakini sio kwa kila mwanasiasa..

Mtanzania;

Thanx for the imput!!

Nafikiri ndio uzuri wa JF, vichwa vingi.. na mawazo ya kina mengi!! Kuna vitu na vielewa hapa ambavyo ambavyo ni vya msingi.

Mimi nina General concept na principal..ok lakini nafikiri jambo kama hili inabidi pamoja na nia nzuri mtu uwe na background ya Biashara na expirience! Lakini tatizo ni kuwa watu wenye hizo expirience ..wengi sio wazalendo, hawaipendi Tanzania kwa moyo, wanaweza kutumia disxn kama hizi kuwachanganya wananchi..

Ninachofurahia mpka sasa hivi: HII ISSUE IMEWAGUSA WANANCHI WOTE NA INAJADILIWA KILA KONA!!!

Ok .."Nitaelewa kama rais na baraza lake la mawaziri watakatazwa lakini sio kwa kila mwanasiasa".....Mbona hujawaweka wabunge hapo??
 
Mtanzania,
Nakubaliana nawe hapo uliposema kuwa sio wanasiasa wote, lakini binafsi naamini kabisa kuwa kulingana na mazingira yetu sisi Wadanganyika, kila mwajiriwa wa serikali awe mbunge ama waziri hahitaji kuwa na biashara yaani ukisha chaguliwa tu basi biashara yako ibakie chini ya wadhamini ama uza..that's the choice you have to make..itaondoa wanasiasa opportunist!
Nitakwambia kwa nini nasema hivi.
Tanzania na hasa nchi za kiafrika tuna take care za viongozi wetu toka wabunge hadi mawaziri vibaya sana tena inazishangaza nchi za magharibi, kifupi kama waajiriwa wengine wote hawa viongozi wetu wanapata mishahara mikubwa kuliko hata ma daktari..mbali na mishahara yao wanalipwa malupulupu, magari, nyumba na kadhalika - what more do they need business for?...Haya bado hatujahesabu fedha za kustaafu kwao kama unakumbuka mbunge wa Mwibara aliweza toa millioni 4 kama msaada kwa kata yake, bro hii sii kazi ya kanisa tu fedha ipo na wanalipwa vya kutosha...Kifupi kwa muda wao wa Uongozi wanaweza kabisa kuishi maisha ya juu kuliko hata mbunge ama mwanasiasa yeyote kiongozi nchi za Ulaya.
Kwa nchi za wenzetu, hao wanaomiliki makampuni system imejengwa kiasi kwamba biashara inaendeshwa na soko sio siasa na kuna mahesabu yasiyoficha kitu. Aghalabu kiongozi kutumia cheo chake kupata tender na jinsi walivyokuwa wawajibikaji huwezi kufanya hivyo hata kidogo kwani mtu utakaye mwomba ni ushahidi tosha wa kukutoa madarakani.
Wee chukulia tu huku Ulaya umekamatwa na askari ukivuka taa nyekundu, kweli unaweza ingiza mkono mfukoni ukamwambia askari amezee?.... huwezi na kwa nini huwezi basi.. Kwa sababu mazingira yao ni tafauti na yetu ktk Code of Conduct, kwetu yamebakia katika vitabu na sio maisha yetu ya kila siku...
Yaliyotukuta tayari ni alama tosha ya kuondoa kabisa Azimio la Zanzibar kwani sheria za haramu hutungwa pale inapoonekana utata wa kupata suluhu. Tungependa sana kuona nchi haina sheria za Ubakaji watoto na sidhani kama tungeweza weka sheria hiyo kama watu wasingekuwa wabakaji lakini tumepiga Haramu ubakaji kwa sababu hakuna suluhu ya mtu mzima kutembea na mtoto mdogo...
Kwa hali hiyo viongozi wetu ni sawa kabisa na hawa mijibaba mizima ambayo inataka sana kutembea na watoto wetu (mali yetu).. ni kuhakikisha wanakuwa mbali na wabaki na wake zao (hizo ajira walizopewa)..

Wakiwapa ndugu zao hizi biashara , mjomba watakuwa wamecheza kamali nina hakia kulingana na mazingira ya Mdanganyika huyo waziri katiwa ndani... Tanzania ya leo hakuna mtu anamwamini hata baba yake ktk fedha... kwa kuelewa huko tuitumie nafasi hiyo tofauti na wazungu ambao mali ya familia hubaki ktk familia kwa karne.
Wewe unaweza kunipa hata kampuni moja ya marehemu mzee fulani aliyekufa mwaka 1920 na leo bado inaendelea?.... hakuna so we should use that (No business ownership) as a weapon kuondoa Ufisadi..
 
Bila shaka aliyebaki ni Shein hiyo kamba ya wanafunzi imewekwa tu!... inge noga zaidi kama lingekuwa baraza la mawaziri...
Cha moto kinakuja na nina hakika hakuna mtu atayependa tena Ubunge ila kwa mwenye nia na uzalendo!
 
Tanzania requires to form leadership code

By Damas Kanyabwoya

Academicians have said mixing business and politics is not essentially bad if clear cut code of leadership is laid bare to guide and direct leaders and politicians dos and don�ts and avoid conflict of interests.

Speaking to The Citizen recently they said the assumption that leaders serve the people better when they a barred from business can be counterproductive.

Dr Haji Semboja of the Economic Research Bureau of the University of Dar es Salaam (UDSM) said leaders should be made to declare their interest before they are appointed to public offices if there is an imminent conflict of interest they should refrain from accepting the appointments. He said a businessman owning or having shares in a commercials bank should not accept becoming a governor of the central bank, for example.

�It is not bad for businessmen and entrepreneurs to engage in public offices. It is only bad when there is a conflict of interests. And leaders should therefore declare their interest first and be open whenever a conflict of interest is imminent,� he said.

Professor Francis Matambalya from the department of Commerce and Management of UDSM said Tanzania should design some kind of leadership code that would spell out the dos and don�ts for leaders who have business interests.

�There is nothing wrong to mix business and politics. In fact entrepreneurs can be very good politicians. Tanzania should learn from those countries that have succeeded in avoiding conflict of interests. This is not the first country to have leaders who do business. Other countries have done it before, successful,� he said.

Matambalya said the problem was that the leadership code of the Arusha declaration was recanted without being replaced by another. There is need now to design a new code which might not be as strict as the Arusha declaration leadership code.

Professor Marjorie Mbilinyi, an academician turned activist said to solve the problem of conflict of interest Tanzania would have to go back and re-examine the current neo-liberal economic situation that it embarked after the collapse of Ujamma.

�You have now an economy that promotes individualism and exports with total disregard of the effects on the ground. The multination that hold sway utilize and corrupt local companies and individuals including politicians and other influential people to their own advantage,� she said.

Mbilinyi said the conflict of interest looms due to a loss of a sense of patriotism and policies that do not promote sustainable economy capable of lifting the lots of the majority poor.

Semboja said such leaders should also work hard to ensure their business advancements do not retard the advancements of the people they serve.

Leaders who care much for their business interests are more of the results of the kind of the messy were now in, Mbilinyi added, and, unless the current economic direction and is not reexamined and reoriented, together with the leadership such conflicts of interests would persist.

There is dire need for the reexamination of the current leadership situation in the country to avert conflicts of interest when entrepreneurs are elected or appointed into public offices, academicians and activists have said.

Matambalya mentioned some countries with good leadership codes where Tanzania can learn from as Austria, Germany, France, and Sweden.

Back
Top Bottom