Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

Watakuwa wanatafuta watu wajinjane , hivi wanaa underestimate watanzania?
 
japo ninaandika kwa shida maana watu ni wengi na situlii sehemu moja lakini ukweli ni kwamba

jk hayupo mwanza, narudia hayupo mwanza.

japo shinikizo hilo lipo ila limetumwa.


naomba unambie umevaa shati la rangi gani nikutafute tusaidiane kuwasilisha hoja .
 
Sasa jamani kama huyo fisadi hayupo huko lakini inawezekana alikuwepo, kaweka fitna zake kisha akaondoka. hilo nalo vp?
Na mnajuaje kama hayupo?
 
Kuna wenzetu wameshachangia kwamba JK tayari yuko Mwanza.
Taarifa zilizopo ni kweli yupo hapa na ameshaonyeshwa matokeo yote na jinsi Masha alivyoanguka Nyamagana na jinsi Anthony Diallo alivyoanguka Ilemela.


JK hakubali dhana ya kupoteza majimbo yote mawili hapo Mwanza mjini. Hivyo ameamua kushinikiza aheri lipotee jimbo moja.

Taarifa ambazo zimeshaenea kwa kila mmoja hapa Mwanza ni kwamba anamshinikiza mkurugenzi wa uchaguzi amtangaze Masha kama mshindi na Diallo atajijua.

Kaeni mkao wa kulielewa na kulifanyia kazi hilo



japo ninaandika kwa shida maana watu ni wengi na situlii sehemu moja lakini ukweli ni kwamba

jk hayupo mwanza, narudia hayupo mwanza.

japo shinikizo hilo lipo ila limetumwa

.....Waheshimiwa ..which is which?
 
Mbona kuna mahali watu walisema Masha kazidiwa na sasa kalazwa Bugando. Je ameshatoka na hali yake inaendeleaje??
 
Kura zilindwe kwa mbinu zote kuzuia uchakachuaji
Njia nyingine ya kulinda kura ingekuwa ni kutoa taarifa ya majumuisho ya kura zote za vituoni na kuzimwaga jamvini; lakini hii ya kuambizana Tarime Chadema wameshinda bila takwimu; kufikia Ijumaa inabidi watu wakapimwe stress au waombe likizo kwa ajili ya kujipumzisha manake waweza anguka ghafla na presha - inapanda inashuka!
 
Hivi anajua kuwa yeye sio rais na kwamba nchi kikatiba haina rais mpaka sasa????
Anaenda kutoa maelekezo yeye kama nani??????????????????
:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
acha ujinga wewe watu tupo busy na matokea acha kutupa matango pori.
 
JK Yuko ndani ya MWanza kumuokoa Masha amienigiea leo asubuhi na Masha sasa sijui imekaaje hiyo

Mbona Slaa katoka Karatu kaenda Dar. Kuna ubaya gani mtu kwenda kusubiria matokea anapotaka? (au unataka kusema Dr Slaa anaenda kuapishwa? (dreams)). We have to be logical!
 
Inasikitisha kuona jinsi Tanzania inavyokwenda, sasa kama ni hivyo vyma vya upinzani ni vya nini, ninaamini Mungu anajua na anaona kwamba watanzania tumechoka na unyanyasaji huu, 2015 uwanja utakuwa wa akina January Makamba, Ridhwani Kikwete, Somebody Mwinyi na wengine watakaoendela kuibuka kama ilivyokuwa kwa hawa, UTAWALA WA KIFALME, EE MUNGU BABA IBARIKI TANZANIA.
 
Huu ndiyo wizi wa wazi, Kikwete ana nini cha ziada kwenda Mwanza? kura zinahesabiwa kwenye masunduku kwa hiyo anaenda kuhesabu upya au? haya maccm yanakera kweli ukisikia mtu anakua gaidi ni kama hivi. inatia kichefuchefu.
 
i think is a bit to late to change any thing now......
 
habari nilizopata punde ni kuwa Masha atatangazwa mbunge wa Nyamagana wakati wowote kuanzaia sasa, Diallo kaliwa huu ni uwizi wa wazi wakazi wa Mwanza msikubali patachimbika
 
PICT0014.JPG

baadhi ya wananchi wakiwa wamebeba mti na kuufunika vitambaa vya kijani kuashiria kifo cha ccm. poleni sana ccm, ila mnaruhusiwa kuendelea kujipa moyo.:happy::caked:
 
Back
Top Bottom