JK ndani ya Ruaha National Park

JK ndani ya Ruaha National Park

Mkulu atakuwa anafutilia mambo ya Bunge si unajua anajenga barabara huko kwao kabla haijaidhinishwa na Bunge.
 
Hatujui na kutokujua ndio ujinga. Angeweza kuitumia fursa hiyo kutuonyesha wananchi umuhimu wa kutembelea vivutio vya kitalii. Nashauri aruhusu kutuonyesha baadhi ya picha za maeneo anayotembelea ili siku nasi tukipata uwezo wa kutanua tuzitembelee. Kwa kufanya hivyo anaweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja; akapumzika na kukuza utalii wa ndani kwa wakati mmoja.

Tujuacho kitone, tusojua bahari.
 
Sasa hivi nimepishana nae anaenda kwenye msiba wa marehemu mkulu Budodi
 
Rafiki,
Wewe siyo raia. Hapa hakuna cha kwamba umezaliwa Tanzania, suala je wewe ni raia? Jibu ni hapana. Kwahiyo ni halali yako kulipa kwa viwango vya wageni. Wewe ni mgeni. Ndugu yangu si umeshaamua kujilipua bana? Kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu, subiri wakati uraia wa nchi mbili utakapokubalika TZ.
in that case,in this globe,tanzania ina distinction ya pekee ya kutotambua'BIRTHRIGHT'ya mtu. Unasema nimejilipua,mbona i am still alive?
 
itakuwa kaenda kupumzika kama ambavyo huenda serengeti kila mwisho wa mwaka kupumzika
 
Mkungo, Kweli Mkulu kaenda mapumziko tu. Ila ajapata totos kama ulivyosema. Kama kunakitoto kinamezea mkulu mate nitakaambia katoto kwa kusindikizwa na polisi kaenda Angaza kwanza kasimletee mkulu balaa.


Kasimletee ama kasimuongezee dozi?
 
Back
Top Bottom