JK ndani ya Ruaha National Park

JK ndani ya Ruaha National Park

we should be constructive. kwani kuna ubaya kwa kiongozi wa nchi akienda kupumzika katika moja ya hifadhi zetu za taifa! Nafikiri ni muhimu tutoe maoni yatakayosaidia kuboresha utendaji, na si si "upupu" kama baadhi yetu tufanyavyo
 
Mkuu ndo kastaili kako nini!Utoka na bi mkubwa home kuelekea kwenye ina pati mkifika njiani unamwambia mama nimekutoa kuua soo la makidi we katanue mbele tukutane home b'dae.ha ha ha ha ha h
labda, huwezi jua... sisi waswahili tuna mengi lol
 
Mkungo, Kweli Mkulu kaenda mapumziko tu. Ila ajapata totos kama ulivyosema. Kama kunakitoto kinamezea mkulu mate nitakaambia katoto kwa kusindikizwa na polisi kaenda Angaza kwanza kasimletee mkulu balaa.

wakumuambukiza mwingine nani hapo?????....mwenzio anakula zile dawa zetu....zile ...!
 
Mkuu check facts zako vizuri, au jamaa wamekuingiza mjini. Mwezi uliopita nilitia maguu pale Mikumi na washkaji wageni. Mimi mzawa nimelipa buku tu na gari 10,000 wale wageni wamelipa 25,000 each

Ni kweli Masatu,
Inaoneka SoA wamemwingiza mjini. Ninachojua (nilishawahi kufika Mikumi, Serengeti na Ngorongoro) ukienda mbuga za kaskazini (Arusha+Kilimanjaro+Serengeti) bei iko juu kidogo. Raia unalipa Tshs. 1,500 wageni USD 50. Mbuga za kusini (Mikumi, Ruaha, Selous) bei iko chini kidogo kama ulivyosema. Tena bei hizi za raia zina apply kwa raia wote wa EAC. Kwahiyo SoA kawadai pesa zako.
 
we should be constructive. kwani kuna ubaya kwa kiongozi wa nchi akienda kupumzika katika moja ya hifadhi zetu za taifa! Nafikiri ni muhimu tutoe maoni yatakayosaidia kuboresha utendaji, na si si "upupu" kama baadhi yetu tufanyavyo

Asante kwa ukweli na busara. Ubarikiwe sana.
 
Ni kweli Masatu,
Inaoneka SoA wamemwingiza mjini. Ninachojua (nilishawahi kufika Mikumi, Serengeti na Ngorongoro) ukienda mbuga za kaskazini (Arusha+Kilimanjaro+Serengeti) bei iko juu kidogo. Raia unalipa Tshs. 1,500 wageni USD 50. Mbuga za kusini (Mikumi, Ruaha, Selous) bei iko chini kidogo kama ulivyosema. Tena bei hizi za raia zina apply kwa raia wote wa EAC. Kwahiyo SoA kawadai pesa zako.
hatukuelewana hapa,mimi si raia lakini ni mzaliwa,uzawa wangu si inabidi waniweke kwenye kundi la raia.hizi mbuga ni haki yangu ya kuzaliwa(birthright)sioni kwanini nilipe USD50
 
hatukuelewana hapa,mimi si raia lakini ni mzaliwa,uzawa wangu si inabidi waniweke kwenye kundi la raia.hizi mbuga ni haki yangu ya kuzaliwa(birthright)sioni kwanini nilipe USD50

subiri Dual Citizenship........otherwise wewe ni mgeni/foreigner......sorry
 
hatukuelewana hapa,mimi si raia lakini ni mzaliwa,uzawa wangu si inabidi waniweke kwenye kundi la raia.hizi mbuga ni haki yangu ya kuzaliwa(birthright)sioni kwanini nilipe USD50

Kwanini wewe si raia, uliukana uraia wa Tanzania? Naomba nifahamishwe hapo. Maana nijuavyo mimi kuna uraia wa kuzaliwa kama akina (RA??) hata kama wazazi wako hawakuwa raia wa TZ
 
hatukuelewana hapa,mimi si raia lakini ni mzaliwa,uzawa wangu si inabidi waniweke kwenye kundi la raia.hizi mbuga ni haki yangu ya kuzaliwa(birthright)sioni kwanini nilipe USD50

...duh, ndio kusema hata huko mbugani wanacheki passport?
 
Jk yuko Ruaha National Park siku ya tatu sasa. Sijui anataka kuja na lipi.

...safi sana, kazi na dawa...vacation nyingine akatembelee zile lodge za TAHI kule Serengeti, zinatia aibu!
 
Huyu bwana inaelekea ofisini kwake hana kazi maana hakai kwenye dawati lake hata siku mbili kabla ya kuingia barabarani.
 
anapumzikaa baada ya kazi ngumu na nzito kuvuruga nchi na kukumbatia mafisadi hahahahahhaha
 
Mapumziko baada ya kufanya kazi gani??????????

Kufungua mradi wa maji Mwz-SHY na kuhutubia bunge na wazee wa Dodoma
 
kikwete anajisahau sana..angekuwa mchaga au mhaya angalau ningemwelewa..maana hao wenzetu kidogo kwao wamesoma soma na wako mbali ukilinganisha na makabila mengine..japo bado nao wana safari ndefu sana..sasa huyu kikwete wazaramo wenzake wana hali mbaya sana kuliko makabila mengine ye aona raha tu kula gud tym na nchi haieleweki tunapokwenda mafisadi anawaogopa sana kwasababu nae alikula hela zao na akawekwa ikulu pale ..kina rostam sasa hawezi kuwagusa kabisa..
mambo ya utalii yametushinda..kikwete umeshindwa hata kuwa mkali na kujiuliza kwanin kwe utalii sie ndo twachaji hela nyingi kuliko kenya...ilihali wakenya wawaleta hao watalii hukuhuku kwetu...tunakosa hela nyingi sana za utalii..hii ni aibu..mlima kilimanjaro leo wakenya wautangaza kama wao..wewe na baraza lako la mawazriri na wizara husika na tanapa..mmekaa kama mazuzu..kwakweli mnatuchanganya..wakenya hawa wanawafanyia usanii..mimi hata siielewi serikali yangu..this has to stop..uchumi unazidi kudidimia..pato la taifa lapotea...nyie wenzetu mwala gud tyms huko saiv..sawa bana...MUNGU YUPO...LKN kabla mungu hajaja..mjue kuwa rwanda na burundi na zaire sio kama walipenda vita sana kuliko sie...ni wkt mwngine watu wanachoka na mambo yenu kama hayo.
nawasilisha.
 
hatukuelewana hapa,mimi si raia lakini ni mzaliwa,uzawa wangu si inabidi waniweke kwenye kundi la raia.hizi mbuga ni haki yangu ya kuzaliwa(birthright) sioni kwanini nilipe USD50

Rafiki,
Wewe siyo raia. Hapa hakuna cha kwamba umezaliwa Tanzania, suala je wewe ni raia? Jibu ni hapana. Kwahiyo ni halali yako kulipa kwa viwango vya wageni. Wewe ni mgeni. Ndugu yangu si umeshaamua kujilipua bana? Kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu, subiri wakati uraia wa nchi mbili utakapokubalika TZ.
 
Duh wadanganyika mbona twamsakama President kiivyoo? It is his right to take a time off, kama mnafikiri uraisi ni kazi rahisi muulizeni Mr. Putin aliyeamua kujidemote to Prime Minister. Pumzika Zumbe na refresh mind mzigo uliobeba mkubwa wadanganyika hawajui tu.
 
Back
Top Bottom