Good point, MkamaP!! Unajua watu hapa JF wanashindwa kabisa kutofautisha reality na fantasy. Haya mambo ya elimu ya bure and stuff ni kejeli tu za kifikra.Mnabadirisha tu gitaa na midundo. Kwani shule za kata ada yake ni kiasi gani?? Na pia naomba tu msaada ni nchi gani inayotoa elimu bure ya kujimu kifedha na fee??
Jibu lake ni rahisi: watanzania walio wengi ni wavivu wakubwa, tena wakutupwa! Kukaa vijiweni na kuwalalamikia viongozi wa serikali kila siku ndicho wanachojua (hilo tunalishuhudia hata hapa jukwaani)! Badala ya hao wanaolalamika kila siku kuketi chini na kubuni mbinu za kujikomboa toka kwenye umasikini, wananchokifanya na kuwaza na kufikiri jinsi ya kupiga mizinga watu wengine na kuililia serikali iwa-bailout. I mean, no one is/will ever be great without working hard. It's a fact wether you like it or not. Japan, China, Singapore, Malaysia, South Korea waliliona hili mapema kabisa na kuamua kufanya kazi kwa nguvu zao zote ili kuongeza productivity. Watanzania inabidi tuache hizi hadithi za abunuwasi tunazosimuliana hapa jukwaani kila kunapokucha. Ukweli ni kwamba, nchi zilizoendelea watu wanafanya kazi ile mbaya! Kwasababu wanajua wasipofanya kazi: (a) hawatakula. (b). Watanyang'anywa nyumba walizopangisha. (c) watakatiwa huduma za muhimu kama simu, maji na umeme (4). Watashindwa kulipia insurance premium zao. And as a result, it's high productivity all the way, baby...Kuna kitabu fulani hapa wazungu wanashindwa kuelewa, ikiwa na kichwa cha habari kama ifuatavyo, ngoja nikiweke ktk kiswahili
Wazungu wanauliza
KWANINI TANZANIA NI MASIKINI WAKATI INA HONEST LEADER(NYERERE) NA MALASIA INA CORRUPT LEADER NA INAENDELEA?
Hiyo swali jiulize ukipata jibu, ndo tutajadili vizuri.
Elimu bure haipo popote duniani maana ni gharama kununua vitabu, kujenga majengo, kulipa walimu n.k Tofauti ipo kwenye mfumo unaotumika kugharamia hiyo elimu.
Kila kata mbili zina shule ya sekondari.Hilo si dogo.Ni hatua ya kupongezwa.Sasa kilichobaki ni kulinda hizi shule na kuzipatia vifaa na walimu.Hiyo ni hatua inayofuata.Haihitaji Phd kufahamu kuwa ni ahadi iliyotekelezeka.
Una uhakika ulichoongea hapo nilipo weka bold ?
Watoto wanasoma bure hadi high school kwenye jimbo la Texas-USA,serikali inagharamia kila kitu na wazazi wanakabwa kwenye kodi;mzazi yeyote anayepeleka mwanae kwenye shule za public Marekani anayajua haya!Hata Kenya na Rwanda sasa wapo kwenye mchakato wa elimu bure kwa wananchi wake
Shule bure inawezekana kama tutarekebisha priorities zetu na kuacha anasa kama vile kutenga bilion 30 kwenye kodi kwa ajili ya sambusa na chapati kwa maafisa wetu na mabilion ya pesa kutengenezea Ikulu kila mwaka,na kudhibiti mianya ya rushwa hizo pesa zote zielekezwe kwenye maendeleo!
Jibu lake ni rahisi: watanzania walio wengi ni wavivu wakubwa, tena wakutupwa! Kukaa vijiweni na kuwalalamikia viongozi wa serikali kila siku ndicho wanachojua (hilo tunalishuhudia hata hapa jukwaani)! Badala ya hao wanaolalamika kila siku kuketi chini na kubuni mbinu za kujikomboa toka kwenye umasikini, wananchokifanya na kuwaza na kufikiri jinsi ya kupiga mizinga watu wengine na kuililia serikali iwa-bailout. I mean, no one is/will ever be great without working hard. It's a fact wether you like it or not. Japan, China, Singapore, Malaysia, South Korea waliliona hili mapema kabisa na kuamua kufanya kazi kwa nguvu zao zote ili kuongeza productivity. Watanzania inabidi tuache hizi hadithi za abunuwasi tunazosimuliana hapa jukwaani kila kunapokucha. Ukweli ni kwamba, nchi zilizoendelea watu wanafanya kazi ile mbaya! Kwasababu wanajua wasipofanya kazi: (a) hawatakula. (b). Watanyang'anywa nyumba walizopangisha. (c) watakatiwa huduma za muhimu kama simu, maji na umeme (4). Watashindwa kulipia insurance premium zao. And as a result, it's high productivity all the way, baby...
Amen!Jibu lake ni rahisi: watanzania walio wengi ni wavivu wakubwa, tena wakutupwa! Kukaa vijiweni na kuwalalamikia viongozi wa serikali kila siku ndicho wanachojua (hilo tunalishuhudia hata hapa jukwaani)! Badala ya hao wanaolalamika kila siku kuketi chini na kubuni mbinu za kujikomboa toka kwenye umasikini, wananchokifanya na kuwaza na kufikiri jinsi ya kupiga mizinga watu wengine na kuililia serikali iwa-bailout. I mean, no one is/will ever be great without working hard. It's a fact wether you like it or not. Japan, China, Singapore, Malaysia, South Korea waliliona hili mapema kabisa na kuamua kufanya kazi kwa nguvu zao zote ili kuongeza productivity. Watanzania inabidi tuache hizi hadithi za abunuwasi tunazosimuliana hapa jukwaani kila kunapokucha. Ukweli ni kwamba, nchi zilizoendelea watu wanafanya kazi ile mbaya! Kwasababu wanajua wasipofanya kazi: (a) hawatakula. (b). Watanyang'anywa nyumba walizopangisha. (c) watakatiwa huduma za muhimu kama simu, maji na umeme (4). Watashindwa kulipia insurance premium zao. And as a result, it's high productivity all the way, baby...
Kijana vipi...we mwanafunzi nini? Ada tunalipa hata tusio na watoto shule. Majina tu yamebadilika. Tunalipa PAYE, na kama haitoshi, simu unayopiga unalipia kodi, daladala unayopanda unalipia kodi, nyumba unayokaa unalipia kodi, umeme.......Hata bytes ulizotumia hapo umelipia kodi. Inaitwa Mr. VAT. Sasa pesa zote hizo unasema hatulipi ada. Kama ameshindwa, ashuke chini wapande wengine!Hiyo point! Lazima tukubali kuwa inafika wakati wazazi nao wachangie elimu za watoto wao> Hii biashara ya bure bure hii ni tamu sana masikioni lakini utekelezaji wake sio mchezo!
Which Utopia?Nothing is free in today's world. Are you one of those believing in utopia?
Raj Patel Jr;Expecting free education. free healthcare, welfare benefits......that's utopia:jaw:
Kama mtu afikirivyo ndivyo atakavyo kuwa!JK ni mjinga kabisa Kuiba mabilioni inawezekana lakini Elimu ya bure ya mamilioni haiwezekani!!!! Kweli watanzania tu wajinga na wavivu wa kufikiri . Thanks God Mungu amenipa hekima sidanganywi na mwizi wa pesa ya UMMA.