Jk yuko mapumziko Bilila Lodge Serengeti

Jk yuko mapumziko Bilila Lodge Serengeti

006980-11-presidental-villa-bathroom.jpg



006980-20-deck-roaming-elephants.jpg
 
hii thread imekuja huku imakosa, ingefaa iwekwe kwenye jukwaa la starehe
 
Nahisi kaenda kuwapa nafasi nyumba ndogo pia na labda hata nyumba kubwa.
 
Hivi Nyerere,Mwinyi na Mkapa mbona hatukuwasikia wakienda kupumzika huku?.......Nyerere sanasana utamsikia yuko Butiama
 
Oh blame the jet lags!!!:dance:

Jet lag, medically referred to as desynchronosis, is a physiological condition which results from alterations to the body's circadian rhythms; it is classified as one of the circadian rhythm sleep disorders. Jet lag results from rapid long-distance transmeridian (east–west or west–east) travel, as on a jet plane.
The condition of jet lag may last several days, and a recovery rate of one day per time zone crossed is a fair guideline
 
Mapumziko amenda mwenyewe bila wife wake , Mama salma yupo Bagamoyo mjini kwa maamdalizi ya Arusi ya mdogo wake na JK Yusuph Kikwete inayoyarajiwa kufungwa ijumaa hii
 
Eh, mambo ya feza hayo,

Nilivyosikia jana kwenye taarifa ya habari ITV kesho au leo ankwenda South Africa kwenye kongamano la biashara.
 
Pumzika mkuu wetu nchi haina tatizo kabisa hii

Nahisi kama heading inahitaji editing maana haiendani na hali halisi. Nijuavyo mm unapata haki ya kupumzika baada ya kufanya kazi, huyu anapumzika kwa kazi ipi aliyoifanya jamani? Katika matatizo makubwa yanayotusumbua kwa sasa hakuna hata moja alilosolve zaidi ya safari zisizoisha so huko kupumzika ni kutokana na uchovu wa safari au?
 
Nahisi kama heading inahitaji editing maana haiendani na hali halisi. Nijuavyo mm unapata haki ya kupumzika baada ya kufanya kazi, huyu anapumzika kwa kazi ipi aliyoifanya jamani? Katika matatizo makubwa yanayotusumbua kwa sasa hakuna hata moja alilosolve zaidi ya safari zisizoisha so huko kupumzika ni kutokana na uchovu wa safari au?


naomba kitufe cha thanks kirudi haraka
 
Nawapa tu taarifa kwamba Mh Rais yuko Bilila Lodge mapumziko tokea jana.

Tumtakie mapumziko mema Raisi wetu ili arudi akiwa na nguvu mpya ya kulitumikia TAIFA LETU.

Nawakilisha.

Pumbavu yake mwizi tu, baada ya kutoka kwa mabwana zake ameamua kupumzika kabla ya kurudi tena na kuendelea kuombaomba.
Sitta alisema kuombaomba ni Tabia ya Mtu kumbe alikuwa anampiga kijembe Fisadi papa
 
Sijui rate full board ni kiasi gani kwa siku - nijue kama na mimi nikisevu kwa miaka mitatu nitaweza kupumzika hapo na mwenzangu angalau kwa siku 3!
 
Du I was in dark kama ni kweli unayosema , anyway thanks
hii hotel c ndo ile ambayo ni maarufu sana duniani.

Hapo ni kwamba mkuu
ameenda ku consume his own goods, kwa wale wa uchumi nazani mnaelewa.

1. Mmiliki wa hii hotel amemegewa kipande cha hifadhi ya serengeti na anakimiliki kwa muda wa miaka 99. Wajukuu wetu ndo watakao kuwepo wakati mkataba unaisha

2. Ana falu wake mwenyewe na sasa ana plani kujenga uwanja wake wa ndege wa kimataifa, si kwa faida ya taifa, no ni kwa faida yake.

3. Ana jeshi lake la kulinda hifadhi yake, c maanish kk guard

4. Hii hotel ndo ile ambayo wana wadharau watanzania kupita kiasi, mtakumbuka ni katika hii hotel kamati ya bunge ya mahesabu ya selikari inayo ongozwa na mh cheyo walizuiwa kuingia ndani ya hotel hii kisa mmiliki yuko bise.

5. Ni katika hii hotel na hifadhi yake mtoto mdogo ilikamatwa ameingia kwenye hii hifadhi na kuhukumiwa miaka

6. Ni katika hii hotel na hifadhi yake maaskari wake hufanya msako wa nyumba kwa nyumba kufunua masufuria jikoni ili kutafuta walio pika nyama ya polini

so mkuu hapo ameenda kujiongezea mapato tu ananunua bidhaa anazo zalisha mwenyewe
 
JK ndo mmliki wa bilila kempiski serengeti.in other words, yupo home anaangalia jinsi biashara yake inavyokwenda
 
kaenda na mke yupi? Mama riz1 au mwarabu? Au yule kimada aliyekuwa mfanyakazi wa bunge aliyezaa naye?
 
Back
Top Bottom