Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hivi hii Nchi inaelekea wapi jamani!!! yaani watoto wetu badala ya kukaa darasani kusoma wanapangishwa foleni kumpokea JK kweli hii siyo haki :mad2::mad2:
Kwanza darasa la nne karibu wanafanya mtihani wao wa taifa halikadhalka form four nao wanakaribia kuanza mitihani ya kumaliza sasa huo muda wanaopoteza barabarani kumsubiri Jk aje kuwahaidi ahadi hewa siwangekuwa nanajisomea na kukumbushana maswali mawili matatu???
Naomba Jaji Makame utuafafanulie kuhusu hili jambo kwa kweli kama TUME YAKO IMERIDHISHWA NA WATOTO WETU KUTOLEWA DARASANI KUMPOKEA JK? na kama hili jambo linakubalika basi liwe kwa VIONGOZI WOTE WANAOGOMBEA URAIS SIO UPANDE MMOJA NDIO UFANYIWE HIVYO alafu tuone kama Elimu yetu itapanda ama kushuka
Hawa wadogo wataichukia CCM milele
![]()
Kuna tatizo gani kwa watoto hao kumpokea prez wao? Haya mawazo ya kilofa yataisha lini?
Kwako kinachokuuma si watoto kupoteza muda wa masomo ila ni pesa uliyopewa.Kuna tatizo gani kwa watoto hao kumpokea prez wao? Haya mawazo ya kilofa yataisha lini?
Kuna tatizo gani kwa watoto hao kumpokea prez wao? Haya mawazo ya kilofa yataisha lini?
Hii ni kashfa mbaya.
Inabidi mtu awekewe pingamizi tena kuhusu hili