JKIA-Rironi Highway - Under construction

Unajisifia una uchumi mkubwa wakati hauwasaidii hata kidogo, kila mwaka mnaomba kupewa misaada ya chakula,
High rate of unemployment,
Mmetelekeza baadhi ya counties,
Huduma mbovu za kijamii,
Huduma mbovu za public transport,
Maisha magumu.
Kenya Uchumi unamilikiwa na raia wachache na wengi ni wazungu alafu unapiga kifua uchumi mkubwa acha hizo wape chakula wenye njaa kwanza 😁
 
We alokwambia daladala hazipo ni nani au unapga domo tuu, daladala zipo vilevile zilivyokua, brt ni zimeongezwa tu kusaidia. Ukiamua nenda kapande daladala ambazo zitachukua masaa mawili au panda brt ambazo ni dakk 45. Choice is yours
 
Ahhaha commuter trains hata tz zinajengwa, mwaka 2020 zitakua u/c. Inshort kila aina ya usafir utakuwepo dar
 
Barabara kama hii inajengwa Dodoma tena itakua na zaidi ya 100 kilometres, itakua na flyovers zaidi ya 5 za kueleweka, ni outer ring road yenye 4 lanes.
Tuta Γ—2
TukiΓ—2
ItaΓ—2
Tuta,tuki wimbo unaendelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We kadanganye watanzania wenzako eti time ndo kila kitu siku izi. Bruh siku izi its all about efficiency and sustainability.
Concorde the fastest passenger jet in the world flying 2Γ— the speed of sound iliekwa retirement mwaka wa 2003 because it wasnt efficient and sustainable enough. The tickets cost were too high and any effort to make it sustainable would simply fail sababu ya mafuta mingi na high maintenance cost. Most airline companies could not afford to buy and use it in their fleet. Ingewafanya unprofitable. Ata Airbus A380 being amongst the fastest airliners in the world, Airbus wamesema watakoma kuproduce new ones sababu haziko sustainable. Airline companies zmerukia medium range jets i.e. 787, a350, 777 etc.. ambazo ni twin engines na ziko efficient kimafuta na pia nauli. And this new jets are actually slower than the jumbos kama a380 & 747's. 'AIRLINES ARE SACRIFICING SPEED FOR EFFICIENCY AND SUSTAINABILITY'
So Kenya made a very sober decision kutumia diesel trains. Reli yetu ni ya mainly freight na kutumia stima ambayo ata miundombinu hatujaweka in place was simply out of the question. Diesel trains were the best option na according to mimi i see no problem, we will upgrade in future when we have adequate infrastructure in place. Hatutaki situation kama ya Ethiopia eti train inakwama siku nzima. Ata kule America na Uchina wanatumia diesel electric trains kusafirisha freight across the vast country side. Kutumia stima kule is simply not sustainable & so is here
 
Pumba tupu! Una compare vitu ambavyo haviendani
 
Kweli ukitaka kuona magari ya maana nenda Jozi utafrahi...kule Ni vw, bmw, mercedes, RR unlike apa Dar Ni Toyota ndio nyingi....utashangaa mtu anasema Nairobi kuna gari nyingi Au dar sasa ukifika Johannesburg siutalia
Hii hapa ndio order kwa wealth and status. Afu hizo gari unataja zipo hata hapa Kenya.

1.Johannesburg
2.Nairobi
3.Dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…