Baada ya Mpango wa serikali kuwa vijana kupita Jeshi kwanza kabla ya kwenda vyuoni mpango ulioanza mwaka huu, tayar intakes mbili za vjana hao wamehtimu mafunzo hayo na intake ya pili wanehitimu Juz Sept 20, Huku vyuo vingi vya Serikali vkitaraji kufungua kati ya Octoba 12 na 14 na vngne vya PRIVATE vikiwa vna takrbani mwez vkiwa vmefunguliwa, JKT wamefanya Fyongo na kujitia upofu kwa Ku release MAJINA MAPYA YA FORM 6 leavers wanaotakiwa waende JESHI kama Intake ya Tatu, ambayo wanasema itaanza October 12,, huku vyuo navyo vikiwangoja hawa hawa Form 6, na wengine wakiwa vyuo vya Private tayari na wakiwa wanelipia Ada, sasa watatakiwa kuji withdraw vyuoni kwenda JKT, huku swali kubwa likiwa Ni
√ -VYUO vya Serikali vtafunguliwa lini?
√-Je ni baada ya haya mafunzo ya intake ya 3?
√-Je na hao walokuwa vyuoni tayari na wallikuwa washalipa Ada tayari itakuwaje?
Ivi inakuwaje Taasis mbili za serikali kifanya Maamuzi au mipango bila kushirikishana?
MSAADA KWA MWENYE KUJUA HILI.