JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

Rugambwa31

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
226
Reaction score
75
Mimi siwaelewi kabisa. Hivi hawa vijana siwanatakiwa kwenda vyuo mwezi wa kumi? Au inakuaje hapo? Bora wangesema mapema kwamba kidato cha 6 wanapumzika mwaka hili kwenda JKT kuliko kuwagawa vijana namna hii.

Ngoja tuone wanasemaje wahusika.
 
Habari wana jf,

Nashikwa na wasiwasi kuona majina ya wanafunz ambao wameshachaguliwa kujiunga na vyuo vikuu kutangazwa katika website ya jeshi ilihali ya kuwa wapo tayari wanafunz wengine wameshaanza masomo kama chuo cha st.agaustine(sauti).

Pili nimegundua kuwa kuna majina ya wanafunzi yamekosekana yaan hayapo kwa mfano mim mwenyewe jina langu halipo na wakati ilibidi nihudhurie mafunzo hayo ya mujibu wa sheria awamu ya tatu.

Tatu nimeshangaa sana kuona majina ya wanafunzi wa shule ya benjamini yakiwepo katika orodha ya wanafunzi watakaoenda jeshi tarehe 28sept mwaka huu wakati wao walishahudhuria mafunzo hayo na nikimnukuu msemaji wa jeshi alitangaza kuwa wanafunz yoyote atakaye hudhuria mafunzo hayo hawez kurudia tena sasa swali je hayo majina walikusudia au?

Huu ni udhaifu wa hali ya juu huku ukizingatia taasisi kama hizi yaan tcu na jeshi zinashindwa kuzungumza na kutoka na tamko moja la jeshi au chuo kwanza.

Nahitimisha kwa kusema kwa hali hii serikali ya ccm ijipange maana vijana wengi wanajitambua na 2015 karatasi za kura ndizo zitakazo zungumza..
 
Majina yao hayo hapo;
 

Attachments

Hivi JKT kanembwa waliopo sasa hivi wanaapa lini?
Na wataanza kurejea lini makwao?
Na kwenye kurudi wanaweza kweli kurudi wote kwa siku moja?(meaning wanaandaliwa usafiri? Au ni kila mtu anajikatia ticket kivyake?)
kuna mtu nataka niwe na uhakika hasa atatoka kule kigoma lini na atafika hapa Arusha lini maana kuna vitu vinavyotakiwa viwe tayari akifika tu aunganishe kwenda dar kesho yake!
Naomba mwenye kujua especially kwa wale waliograduate Jumamosi! Wanifahamishe tafadhali!
Ni MUHIMU SANA maana hapatikani kwenye simu na nahofia akija kupatikana it might be too late kwa baadhi ya maandalizi kufanyika kwa wakati huo coz kuna mengine hayatakiwi kuwahi wala kuchelewa!
 
Baada ya Mpango wa serikali kuwa vijana kupita Jeshi kwanza kabla ya kwenda vyuoni mpango ulioanza mwaka huu, tayar intakes mbili za vjana hao wamehtimu mafunzo hayo na intake ya pili wanehitimu Juz Sept 20, Huku vyuo vingi vya Serikali vkitaraji kufungua kati ya Octoba 12 na 14 na vngne vya PRIVATE vikiwa vna takrbani mwez vkiwa vmefunguliwa, JKT wamefanya Fyongo na kujitia upofu kwa Ku release MAJINA MAPYA YA FORM 6 leavers wanaotakiwa waende JESHI kama Intake ya Tatu, ambayo wanasema itaanza October 12,, huku vyuo navyo vikiwangoja hawa hawa Form 6, na wengine wakiwa vyuo vya Private tayari na wakiwa wanelipia Ada, sasa watatakiwa kuji withdraw vyuoni kwenda JKT, huku swali kubwa likiwa Ni

√ -VYUO vya Serikali vtafunguliwa lini?
√-Je ni baada ya haya mafunzo ya intake ya 3?
√-Je na hao walokuwa vyuoni tayari na wallikuwa washalipa Ada tayari itakuwaje?

Ivi inakuwaje Taasis mbili za serikali kifanya Maamuzi au mipango bila kushirikishana?

MSAADA KWA MWENYE KUJUA HILI.
 
Nendeni chuo vijana achaneni na ujinga wa jkt...jkt muende mkishamaliza chuo...wenyewe kwann wasiwaambie mapema kwamba msiapply vyuo...hizo gharama za kuapply watarudisha
 
wapumb #fu waliotoka jeshn ndo wameamua kutusalimia kwa kutudanganya hivi
 
Back
Top Bottom