JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

i hate Tanzania, i hate jkt. I like university, i like tcu.
 
JAMANI NIMEONA MAJINA YA JKT ILA KWA WALE NINAOWAJUA SIKUONA JINA HATA MOJA KUNA BAADHI YA WENGINE WAMESEMA WALE WOTE WALIOCHAGULIWA VYUO VYA GVT NDIO WATAENDA HUKO NA MAJINA YA WALIOKOSA MIKOPO YAMETOKA XO ANAEJUA HILI ZAIDI YANGU BHAC ATOE UFAFANUZI ZAIDI ILA MAJINA YA JKT NIMEYAONA wana jf nawatakia usomaj mwema nlchokiandka kna ukwel wa dhat tafakari
 

yap ni kweli ila wanachoringa jkt wanatoa vyeti af nasikia ndo itakua na ushindani kwenye ajira.. ndo maana msimu huu wamefuta kuchukua raia..au waliomaliza fom four.. huo ni mpango wa serikali na usipoenda jeshini ujue ni umevunja sheria.. pia kazi itaangaliwa kwa chet cha chuo pamoja na cha jeshi.. hivyo watoe muongozo kwamba chuo kisimishwe au wao wawape muda vijana.. aidha mpk wamalize masomo yao au kile kipindi cha likizo na fild ndo waripot jeshini.. huo ni mtazamo wangu tuu..
 
Daah haya ndio matokeo ya kuingoza nchi kisiasa zaidi, kwanin hakuna kauli moja yenye msimamo kwa wote?ooh GOD help us
 
naomba uniangalizie majina haya
1.HAPPINESS MARCO
2.ALLY A ALLY
 
Na sisi ambao hatuja chaguliwa inakuaje sasa au tusubir awamu ya nne?
 
MSAADA NICHEKIENI MAJINA HAYA
1.ally A ally
2.Happiness Marco
nitashukru sana
 
Shida ni kuwa vyuo viliombwa visitishe kuita wanafunzi hadi Januari mwakani lakini vyuo vikakataa basi naona jeshi nao wameamua kufanya ya kwao. Kweli wanapogombana fahari wawili ziumiazo ni nyasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…