Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
vyuo vilivyofungua itakuwaje..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hv kuna ambao hawajachaguliwa?
Duh! Hii ndo serekali yetu
i hate Tanzania, i hate jkt. I like university, i like tcu.
Acheni upuuzi nyie madogo,we subri uende kuripot chuon kwako kama unahis jkt ndo bora kwako ikifika tr 28 nenda bt ushaur wangu mwenye ndoto na kile anachokiamin asiteteleka na hayo majina,mie nnamdogo wangu alipangiwa kigoma awam ya pil hajaenda na chuo kapata na anaingia oct 14,,,n chaguo tu
CCM bana! Wako makini kuwapiga CHADEMA mabomu
Daah haya ndio matokeo ya kuingoza nchi kisiasa zaidi, kwanin hakuna kauli moja yenye msimamo kwa wote?ooh GOD help us
Wamechukua hadi herufi L