Hivi hii ni nchi au eneo tu ambalo
watu walikusanyika toka enzi then
wakaanza kuishi pamoja!!!?,Nini
maana ya TCU kutoa post za Vyuo na
tarehe ambazo wanafunzi
wanahitajika vyuoni halafu JKT
inaibuka na kusema hao hao
wanafunzi waripoti kambi mbalimbali
tarehe 28 sept!!!!!!!?,Kwani TCU ipo
Kenya afu JKT ipo Uganda au,labda
mimi akili finyu thats why sielewi
hili,ebu nisaidieni ndugu zangu.
Mbona hii serikali inatufanya sisi wote
Misukule na kutubuluza
wanavyotaka!!!?.
Im proud to be a Tanzanian lakini
sijivunii kuishi ndani ya mipaka ya
nchi yangu.
cc:
najimfb.