JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

Mi naona tuwape masaa 24 alafu tujue vijana wanaelekeza nguvu jeshini au chuoni alafu kuhusu wale ambao washalipa ada tujue zitakuwa freezed for the time being?anyway madogo msipanic.u have 48hrs za kujua ukweli tulia ulipo na ujipange tu kama mwanajeshi vitani.
 
jamani mimi wananichanganya hawa jamaa(jkt) wengine tuko vyuoni tayari tumeshaanza leo tunaona majina yetu tunatakiwa kwenda jkt jumamoc.......CELEWII
  • ​Piga kitabu kwanza, ukimaliza lazima kitaeleweka tu.
 
Mi naona tuwape masaa 24 alafu tujue vijana wanaelekeza nguvu jeshini au chuoni alafu kuhusu wale ambao washalipa ada tujue zitakuwa freezed for the time being?anyway madogo msipanic.u have 48hrs za kujua ukweli tulia ulipo na ujipange tu kama mwanajeshi vitani.

hahaha.. tuwasubir wenye vitambi watoe tamko..
 
Majina yapo bandugu. Ingia jkt.go.tz halafu kama unatumia simu shuka hadi mwisho wa page click desktop version ndio utakutana na NEWS hiyo
 
vijana Mnatakiwa kuripoti makambini,ili mpewe vibali vya kwenda chuoni.source.jkt nimewapigia simu.
 
Mimi siwaelewi kabisa. Hivi hawa vijana siwanatakiwa kwenda vyuo mwezi wa kumi? Au inakuaje hapo? Bora wangesema mapema kwamba kidato cha 6 wanapumzika mwaka hili kwenda JKT kuliko kuwagawa vijana namna hii. Ngoja tuone wanasemaje wahusika.
mim nasubir tu kusikia Jkt imefutwa vijana tuende Vyuoni kwanza.
 
Ukakamavu ni muhimu, Bora kuanzia Jeshini then ndo Uende chuo
 
Hivi hii ni nchi au eneo tu ambalo
watu walikusanyika toka enzi then
wakaanza kuishi pamoja!!!?,Nini
maana ya TCU kutoa post za Vyuo na
tarehe ambazo wanafunzi
wanahitajika vyuoni halafu JKT
inaibuka na kusema hao hao
wanafunzi waripoti kambi mbalimbali
tarehe 28 sept!!!!!!!?,Kwani TCU ipo
Kenya afu JKT ipo Uganda au,labda
mimi akili finyu thats why sielewi
hili,ebu nisaidieni ndugu zangu.
Mbona hii serikali inatufanya sisi wote
Misukule na kutubuluza
wanavyotaka!!!?.

Im proud to be a Tanzanian lakini
sijivunii kuishi ndani ya mipaka ya
nchi yangu.
cc: najimfb.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli nimetembelea hiyo website ya jkt na wameorodhesha majina ya vijana wanaotakiwa kujiunga na jkt awamu ya tatu kwa mujibu wa sheria. Ila kuna kitu sikielewi, kwani awali serikali ilisema kuwa haina fungu la kutosha hivo watakwenda vijana kutoka baadhi tu ya shule,na nafikiri walipita kwenye shule zilizokuwa zimechaguliwa ili kuwaelewesha na kujaza fomu. Sasa hili la kuwataka vijana wengine walipoti jkt trh 28 sep,ilhali vyuo vingine kama SAUT wameshaanza masomo tayari,linatatiza na linahitaji maelezo ya kina toka kwa wahusika. Serikali ilitolee maelezo.
 
yani hii nchi hii siasa hadi kwenye elimu halafu wanataka big result now labda baada ya miaka mia
 
Back
Top Bottom