JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

kama unatumia simu fungua jkt.go.tz halafu weka desktop size utaziona link hizo
 
Mimi siwaelewi kabisa. Hivi hawa vijana siwanatakiwa kwenda vyuo mwezi wa kumi? Au inakuaje hapo? Bora wangesema mapema kwamba kidato cha 6 wanapumzika mwaka hili kwenda JKT kuliko kuwagawa vijana namna hii.

Ngoja tuone wanasemaje wahusika.
Unaweza kuta upande wapili hawaelewi nini serikali imeamua
 
daaaah nakumbuka wazir wa Ulinzi alisema kuna awamu 4! So wale mwenye majina kuanza heruf M-Z january zamu yenu
 
...tafadhalini wanajf naomba mnichekie madogo hawa:Joel A.Mwakapina na Shomari Mbwagai.
 
hv kwel wanaweza kuwa wanaakili vizuri hawa jamaa ndio kila mtu anaipenda kazi yake lakini ndio asitumie akili japo kiduchu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…