JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

Mdau nimekusoma ikabidi nicheke sana ila si kwa kudharau uchungu ulio nao ila kwa analysis ulioifanya inaonesha coordination ya mambo nchini kwetu imekatika somewhere!ndio maana ulisikia waziri wa sheria akisema hakuna kubadili katiba wakati mkuu wake anasema katiba mpya lazima.Hizi ni matokeo ya nchi kutotawalika,kila mtu anacommand kutokea alipo bila kujali mwenzie kacommand nini!!tuombe sana katika wakati kuna vaccum ya uongozi namna hii tusipate majanga kama wenzetu itakuwa kichekesho!

Mi nahisi ndo Michakato ya Big results now...
 
Yah, asante mwana jamvi...watz wengi tunakuwa wavivu hadi kumeza ndizi hadi ushikiliwe koo?
 
mbona mwanimixxxxx.... embu nifafanulieni.. kwamba mwaka huu vijana hawaendi chuo au?
 
habari wana jf nashikwa na wasiwasi kuona majina ya wanafunz ambao wameshachaguliwa kujiunga na vyuo vikuu kutangazwa katika website ya jeshi ilihali ya kuwa wapo tayari wanafunz wengine wameshaanza masomo kama chuo cha st.agaustine(sauti)
Pili nimegundua kuwa kuna majina ya wanafunzi yamekosekana yaan hayapo kwa mfano mim mwenyewe jina langu halipo na wakati ilibidi nihudhurie mafunzo hayo ya mujibu wa sheria awamu ya tatu
Tatu nimeshangaa sana kuona majina ya wanafunzi wa shule ya benjamini yakiwepo katika orodha ya wanafunzi watakaoenda jeshi tarehe 28sept mwaka huu wakati wao walishahudhuria mafunzo hayo na nikimnukuu msemaji wa jeshi alitangaza kuwa wanafunz yoyote atakaye hudhuria mafunzo hayo hawez kurudia tena sasa swali je hayo majina walikusudia au? huu ni udhaifu wa hali ya juu huku ukizingatia taasisi kama hizi yaan tcu na jeshi zinashindwa kuzungumza na kutoka na tamko moja la jeshi au chuo kwanza
Nahitimisha kwa kusema kwa hali hii serikali ya ccm ijipange maana vijana wengi wanajitambua na 2015 karatasi za kura ndizo zitakazo zungumza..

na ijipange kwelikweli.
 
Jkt imetoa orodha ya watakaojiunga na jkt awamu ya tatu najua wengi imewachanganya kwan wengne mpo vyuon ila mi nawasih nenden jkt ni kutamu sana kwa watakaoenda maramba tuwasiliane maana nlkuwa huko
 
Ili jambo limenikumbusha sana civics ya 4m4. One among the causes of poverty is "Poor gvt planning" and by this issue the ccm gvt has proved its poorness!
 
Ni u nge se huu kaz ku2mia nguv nyng akili kdogo, hyo tareh 28 kam unaend nend mwnyw nyny w 3rd selectn tcu, me taraaaaatibu chuo , hta hvy co lazma niajiriwe selikaln hat prvte sector ,hv wanafkr kuwplek w2 jsh ndo kuwatshnd ccm ujnga w hal y juu kabxa huu mavi yenu
 
umeongea point sana hapa ni mgomo mwanzo mwisho
Kuna vitu vingne si vya kugoma,ulishataarifiwa mwanzo kabisa kuwa kutakuwa na jkt awam ya tatu,Ndugu yangu hulazimishwi kwenda ukigoma wanajua wao watakubana wap,kwa sasa kuwen wapore (MTU MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO GHAFLA KWA WATU CHA KWANZA HUCHUCHUMAA CHIN)mkitoa povu midomon huku jukwaan haisaidii lolote nenda ukajazwe uzalendo mambo yote yatakuwa pouwaaaaa tu!
 
Yan unajishaur kugoma mm cku nyngn xna nmeshafany maamuz wazee hata cwaambii kam kun kwnd jshi itafaamka mbl y safar wa nge se kwl hawa
 
Watoto wakihindi sioni majina yao,kwenye mambo mengine wao niwatanzania ikija ulinzi wao si wenzetu
 
HABARI MBALIMBALI MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU TAREHE 28 SEP 13...

Maadhimisho ya Miaka 50 ya JKT.

VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI.

Wabunge wahudhuria mafunzo ya JKT.

Amiri Jeshi Mkuu atembelea JKT.


.
.
Mawasiliano na
Jeshi la Kujenga Taifa
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694, Dar es salaam

Simu:+255-22-2780588/2780712
Fax:+255-2-270048
Email: info@jkt.go.tz

Website:Jeshi la Kujenga Taifa
cns13.jpg
Meja Jenerali
Raphael Muhuga

Acha kupagawisha watu kijana,,,ilo tagazo linasema vijana waliomaliza kidato cha sita wanatakiwa kuripoti,,tarehe 24 june 2013,,,sasa leo tarehe ngapi?kuwa makini na thread zako.
 
Acha kupagawisha watu kijana,,,ilo tagazo linasema vijana waliomaliza kidato cha sita wanatakiwa kuripoti,,tarehe 24 june 2013,,,sasa leo tarehe ngapi?kuwa makini na thread zako.

Vipi kuhusu hao ambao tayari wameona majina yao
 
Back
Top Bottom