Mdau nimekusoma ikabidi nicheke sana ila si kwa kudharau uchungu ulio nao ila kwa analysis ulioifanya inaonesha coordination ya mambo nchini kwetu imekatika somewhere!ndio maana ulisikia waziri wa sheria akisema hakuna kubadili katiba wakati mkuu wake anasema katiba mpya lazima.Hizi ni matokeo ya nchi kutotawalika,kila mtu anacommand kutokea alipo bila kujali mwenzie kacommand nini!!tuombe sana katika wakati kuna vaccum ya uongozi namna hii tusipate majanga kama wenzetu itakuwa kichekesho!
Kuna mtu aliwahi kusema inawezekana hata waziri wa elimu hajui kinachoendelea hapa ni wakugomea tu hao jkt maana nchi hii bila migomo haiendi.
habari wana jf nashikwa na wasiwasi kuona majina ya wanafunz ambao wameshachaguliwa kujiunga na vyuo vikuu kutangazwa katika website ya jeshi ilihali ya kuwa wapo tayari wanafunz wengine wameshaanza masomo kama chuo cha st.agaustine(sauti)
Pili nimegundua kuwa kuna majina ya wanafunzi yamekosekana yaan hayapo kwa mfano mim mwenyewe jina langu halipo na wakati ilibidi nihudhurie mafunzo hayo ya mujibu wa sheria awamu ya tatu
Tatu nimeshangaa sana kuona majina ya wanafunzi wa shule ya benjamini yakiwepo katika orodha ya wanafunzi watakaoenda jeshi tarehe 28sept mwaka huu wakati wao walishahudhuria mafunzo hayo na nikimnukuu msemaji wa jeshi alitangaza kuwa wanafunz yoyote atakaye hudhuria mafunzo hayo hawez kurudia tena sasa swali je hayo majina walikusudia au? huu ni udhaifu wa hali ya juu huku ukizingatia taasisi kama hizi yaan tcu na jeshi zinashindwa kuzungumza na kutoka na tamko moja la jeshi au chuo kwanza
Nahitimisha kwa kusema kwa hali hii serikali ya ccm ijipange maana vijana wengi wanajitambua na 2015 karatasi za kura ndizo zitakazo zungumza..
Kuna vitu vingne si vya kugoma,ulishataarifiwa mwanzo kabisa kuwa kutakuwa na jkt awam ya tatu,Ndugu yangu hulazimishwi kwenda ukigoma wanajua wao watakubana wap,kwa sasa kuwen wapore (MTU MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO GHAFLA KWA WATU CHA KWANZA HUCHUCHUMAA CHIN)mkitoa povu midomon huku jukwaan haisaidii lolote nenda ukajazwe uzalendo mambo yote yatakuwa pouwaaaaa tu!umeongea point sana hapa ni mgomo mwanzo mwisho
HABARI MBALIMBALI MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU TAREHE 28 SEP 13...
Maadhimisho ya Miaka 50 ya JKT.
VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI.
Wabunge wahudhuria mafunzo ya JKT.
Amiri Jeshi Mkuu atembelea JKT.
.
.
Mawasiliano na Jeshi la Kujenga TaifaMkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694, Dar es salaam
Simu:+255-22-2780588/2780712
Fax:+255-2-270048
Email: info@jkt.go.tz
Website:Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali
Raphael Muhuga
naomba unchekie jina la edger .m.edward kama lpo kambi ipi mana pdf halaf npo bush inakuwa shida sory lakni.Majina yao hayo hapo;
Acha kupagawisha watu kijana,,,ilo tagazo linasema vijana waliomaliza kidato cha sita wanatakiwa kuripoti,,tarehe 24 june 2013,,,sasa leo tarehe ngapi?kuwa makini na thread zako.