JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

 
Mi jina langu halipo sasa kama kweli hawatanweka na wengine muende moja kwa moja naenda kujiunga na Alshabaab nimechoka.
 
vp cc ambao hatujasomea tz,tuliambiwa hatuhuck,tutapewa utaratibu tukiripot vyuon
 
Nimesikitika sana kaka yenu sio kwa taarifa hii mpya tu, ni kuanzia tu niliposikia kuwa vijana wanaomaliza form 6 wataenda jeshini kabla ya kujiunga na vyuo, kwasababu nilitambua kuwa saikolojia ya jeshi iko tofauti sana na kada nyingine ambazo baadhi ya vijana wataenda kuzitunikia baada ya kuhitimu masomo yao. Kwani kuna uwezekano mkubwa wa mafunzo na saikolojia ya jeshi kutumiwa ktk mazingira yasiyostahili mf. Jana nilikuwa kwa mama muuza chakula niliagiza chakula wakati naletewa kruta mmoja akamnyang'anya yule mama sahan ya chakula akakaa na kuanza kula bila aibu.
Lakini kwa sababu inaitwa kwa mujibu wa sheria kwa nafasi yangu sina uwezo wa kutengua badala yake nashauri kwamba VIJANA WAACHE WAKOMAE NA KITABU KWANI KUSOMA NI HAKI YAO YA MSINGI.

Usiogope kufa ila ogopa kufa bila maandalizi thabiti ya makazi yako kesho akhera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…