mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Hta wenyw jkt wamejiona maboya ndo maana ukijaribu kufungua link yao inazengua sa hv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jf,
Nashikwa na wasiwasi kuona majina ya wanafunz ambao wameshachaguliwa kujiunga na vyuo vikuu kutangazwa katika website ya jeshi ilihali ya kuwa wapo tayari wanafunz wengine wameshaanza masomo kama chuo cha st.agaustine(sauti).
Pili nimegundua kuwa kuna majina ya wanafunzi yamekosekana yaan hayapo kwa mfano mim mwenyewe jina langu halipo na wakati ilibidi nihudhurie mafunzo hayo ya mujibu wa sheria awamu ya tatu.
Tatu nimeshangaa sana kuona majina ya wanafunzi wa shule ya benjamini yakiwepo katika orodha ya wanafunzi watakaoenda jeshi tarehe 28sept mwaka huu wakati wao walishahudhuria mafunzo hayo na nikimnukuu msemaji wa jeshi alitangaza kuwa wanafunz yoyote atakaye hudhuria mafunzo hayo hawez kurudia tena sasa swali je hayo majina walikusudia au?
Huu ni udhaifu wa hali ya juu huku ukizingatia taasisi kama hizi yaan tcu na jeshi zinashindwa kuzungumza na kutoka na tamko moja la jeshi au chuo kwanza.
Nahitimisha kwa kusema kwa hali hii serikali ya ccm ijipange ma
Kwa hiyo kama uligongwa wote wagongwe kisa ushoga wako....!! Wew umetoka juzi so swala swala ni je wa2 wahairishe chuo kwa JKnyoooooooo