JKT Cement Industry: Natamani kuona wanapewa mgodi wa kuchakata Saruji

JKT Cement Industry: Natamani kuona wanapewa mgodi wa kuchakata Saruji

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !

Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee Saruji safi na bora, bei nafuu na yenye uwezo mzuri na iitwe (JKT Cement) .

Jeshi la Kujenga Taifa

Faida
1. Kuchochea ukuaji wa kiuchumi nchini (kuuboresha uchumi wa sasa). Wale wataalamu wa uchumi watanielewa hapa ninachomaanisha.

2. Ajira zitaongezeka sana.

3. Ukuaji wa biashara mtambuka sehemu mbalimbali.

Karibu.
 
Back
Top Bottom