Kusadiki kwa Toma......Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema jeshi hilo litaanzisha masomo ya uzalendo wa kidigitali kutokana na ukweli kwamba vijana wengi hupatikana kwenye mitandao ili kuwajengea na kukuza uzalendo katika mambo wanayofanya wakiwa kwenye mitandao ya kijamii.
Meja Jenerali Mabele alitoa kauli hiyo katika kikosi cha 822KJ Rwamkoma, wilayani Butiama, mkoani Mara, mara baada ya vijana kuhitimu mafunzo yaliyodumu kwa miezi mitatu.
Pia Soma:Vijana wa JKT Waonywa Kuhusu Mitandao, Waandaliwa kwa Mapambano ya Taifa
Mbona kama unamfahamu personal maana umeandika kwa uchungu na hisia mkuu🤣🤣Mabele Yuko hapo kulinda ugali Wake TU,
Ivi wewe mabele unaelewa maana ya uzalendo?
Uzalendo sio nidhamu ya uoga Bali, Kila citizens kuwajibika kwenye kujenga na kumiliki uchumi wa Tanzania.
Nimekasirika sana kwa kauli ya mabele anaonekana ni MTU selfishness alafu Malaya mkubwa wewe
Upuuzi wanaiba pesa halafu wanatundishaMkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema jeshi hilo litaanzisha masomo ya uzalendo wa kidigitali kutokana na ukweli kwamba vijana wengi hupatikana kwenye mitandao ili kuwajengea na kukuza uzalendo katika mambo wanayofanya wakiwa kwenye mitandao ya kijamii.