GE2025 JKT kuja na mafunzo mapya kukuza uzalendo wa vijana mitandaoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Enzi hizo kulikuwa na magazeti yaliitwa ya udaku. Ikadaiwa vijana na wasiokuwa na kazi ndio wateja wake. Kilichokuja kubainika ndivyo sivyo. Uzalendo watafutwe wa kufunzwa
 
Kusadiki kwa Toma......
 
Kupitia hiyo program, wajeda wenye vyeo watajipigia pesa ndefu.

Ki ukweli hakuna chamaana hapo.
 
Mbona kama unamfahamu personal maana umeandika kwa uchungu na hisia mkuu🤣🤣
 
Upuuzi wanaiba pesa halafu wanatundisha
ujinga
 
Hawa watu wanahisi uzalendo ni kuwa kama mjinga, unyamaze watu waibe.Uzalendo ni kuhoji na kuktaa ujinga, wizi na kuwa mkali kwa maslahi ya nchi..sio kiwa chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…