Hakika JKT inanikumbusha mbali sana.
nakumbuka siku nilipokwenda kuripoti Ruvu JKT. nilishushwa na gari pale getini. MP alianza kunigombea mwarabu mwarabu. Nilipigishwa kichura mpaka kumbukumbu na baada ya kuandikishwa nilipelekwa D Coy.
Hakika nilijua mengi mpaka kwa babu na vibwende kote.
naakumbuka sagent Mwambingu, sahani, nyundo,chenga,mazani, bila kumsahau capt Othman na RSM wetu Stuke.
hakika jeshi ni zuri katika nyanja ya ukakamavu, uvumilivu na hata kuondosha ukabila, udini na kuondoa matabaka. ni sehemu inayojenga umoja.
Ila kwa sasa naona imepitwa na wakati, kwani wengi wa watu especially watendaji ni wabadhilifu sana watasababisha watu wapate utapiamulo ( watachukua sana pololo). vile vile kuhusu UKIMWI sisemi tena.
namkumbuka afande Mazani na totoz

Sorry, Afande Kibuyu ndio amefariki sio Nyundo.I think I know you......!!! Afande Mazani alikua ana pepo wa ngono and by the way nasikia Nyundo amefariki.
Anyway, JKT idumu na idumu. Inasikitisha watoto wanakua hawajui hata National Anthem. Kama hauwafundishi nyumbani kama nifanyavyo mimi ndio basi tena. Kabla ya kurudishwa tena, nataka Watanzania tuambiwe content ya Mafunzo hayo, from political, social to economical. Tusijekupoteza kodi zetu bure kwa kitu ambacho hakina tija, manake gharama kubwa itatumika hapo. There is a lot that these young women and men can learn that they are not getting at school or home.
The programme should mostly be on Nationality, self dependence and some skills on self employment. You cannot prevent sex among them, they do it anyway at home, colleges etc. I never saw anybody getting raped by an afande, girls should be taught to have a strong will, waache uselule na kupenda mteremko.
Jamani waacheni watoto wenu waende tena mkome kabisa kuwatafutia vyeti. My life at JKT is quite a story, I wish I could have a day with all those service men and women. I sing those songs todate.
God Bless Tanzania!