Eh! Hivi JKT haipo tena. Si lilikuwa Jeshi la Kujenga Taifa, sasa Taifa linajengwa na nani!? OMG!Wakuu nimesoma mahali kwamba serikali ina mpango wa kurudisha JKT kwa "wasomi wetu" naomba nieleweshwe vizuri kwa wale wenye data. Na pia je kuna umuhimu kweli katika kipindi hiki?
JKT ilifutwa na Mwinyi ili wanae wasiende huko. Leo ajabu mwanae ati ni waziri wa ulinzi.
Umuhimu wa JKT ulikuwepo na utaendelea kuwepo. Kama si mafunzo ya jeshi JKT inaweza kusaidia kuwapa skills vijana wanaomaliza shule katika kazi kama vile kilimo cha kisasa, useremala, na ujasiriamali. Najua Tanzania si nchi ya kivita lakini unakuta nchi kama Israel ina lazima ya vijana kwenda jeshini kwa miaka miwili, angalau.
Kidingi Kinoko, eh? I like that. I think I will change my JF name to that.Unaona sasa....umekuwa kidingi kinoko na wewe. JKT haina umuhimu wowote zaidi ya kutesa watu
......naomba nieleweshwe vizuri kwa wale wenye data. Na pia je kuna umuhimu kweli katika kipindi hiki?
...Misallocations of our meager resources!..
Haitaluwa na maana. Awamu hii ya nne ya kifisadi nadhani watoto wa mafisadi watakwepa JKT kwa kusaidiwa na wazazi wao, na kama vipi wataenda kusoma nje.
JKT ipo, ila mafunzo ni ya kujitolea zaidi kuliko lazima na nafasi ni za kuomba, si kupelekwa!Eh! Hivi JKT haipo tena?
Wow! Tuambie zaidi mkuu.JKT ilifutwa na Mwinyi ili wanae wasiende huko.
Umuhimu wa JKT ulikuwepo na utaendelea kuwepo. Kama si mafunzo ya jeshi JKT inaweza kusaidia kuwapa skills vijana wanaomaliza shule katika kazi kama vile kilimo cha kisasa, useremala, na ujasiriamali. Najua Tanzania si nchi ya kivita lakini unakuta nchi kama Israel ina lazima ya vijana kwenda jeshini kwa miaka miwili, angalau.
Nakuunga mkono kwa 100%kuna umuhimu sana wa kurudisha JKT ambao ni kujenga utaifa, umoja na utamaduni ambao umeporomoka sana baada ya kufuta JKT.
Kwa wale amboa tumepitia JKT ukiacha ile karinyekarinye ukafanya uchambuzi "objectively" utaona JKT ilitujenga kwa kutufanya tuje kuwa raia wema na kujiona wote ni ndugu bila kujari umetokea familai gani, kabila gani, mkoa gani au una rangi gani.
I FULLY SUPPORT REINTRODUCTION OF JKT with minor improvements
iliondolewa kwa sababu na sidhani inaumuhimu wa kuirudisha....
Mkuu, uzoefu wangu unaonyesha tofauti na haya unayoyasema. Mimi nilikwenda JKT, nilianzia Ruvu baadaye nikapelekwa Chita. Sikufundishwa chochote miongobni mwa hivyo ulivyoviorodhesha. Nilipokuwa Ruvu maafande walikuwa wanatupa mbinu za kuwaibia mayai ya kuku. Chita ilikuwa ni kama utumwa, watu 100 tulitakiwa kupalilia mpunga (kwa kung'oa magugu) kwenye shamba la ekari 100! CO aliomba dawa za kuua magugu (nadhani hicho ndicho kilimo bora) akanyimwa. bahati nzuri na yeye alikuwa mwelewa, akatuongoza katika mgomo wa kupalilia hadi madawa yalipoletwa, tena ilikuwa too late, hatyukuweza kupalilia hata robo ya mashamba tuliyokuwa tumepanda.Hiyo ndiyo JKT niliyopitia mimi, labda wewe mwenzetu una uzoefu tofautiMkodoleaji na wenzako,
Umuhimu wa kuwa na JKT ni mkubwa sana kuliko wengi wanavyodhani. Enzi za JKT, wanafunzi walifundishwa, mbali ya ukakamavu, mbinu za kilimo bora, ufugaji bora, utengenezaji wa fenicha, ujenzi na mbinu nyingine nyingi za uzalishaji mali
Nadhani unaongelea JKT iliyokuwa inakaribia kukata roho, yaani miaka ya mwisho ya 80 kuelekea 90. Mapungufu yapo na yataendelea kuwepo hata itakaporudishwa tena. Tunachelewa kuirudisha JKT iliyotupunguzia sana "maselule".Mkuu, uzoefu wangu unaonyesha tofauti na haya unayoyasema. Mimi nilikwenda JKT, nilianzia Ruvu baadaye nikapelekwa Chita. Sikufundishwa chochote miongobni mwa hivyo ulivyoviorodhesha. Nilipokuwa Ruvu maafande walikuwa wanatupa mbinu za kuwaibia mayai ya kuku. Chita ilikuwa ni kama utumwa, watu 100 tulitakiwa kupalilia mpunga (kwa kung'oa magugu) kwenye shamba la ekari 100! CO aliomba dawa za kuua magugu (nadhani hicho ndicho kilimo bora) akanyimwa. bahati nzuri na yeye alikuwa mwelewa, akatuongoza katika mgomo wa kupalilia hadi madawa yalipoletwa, tena ilikuwa too late, hatyukuweza kupalilia hata robo ya mashamba tuliyokuwa tumepanda.Hiyo ndiyo JKT niliyopitia mimi, labda wewe mwenzetu una uzoefu tofauti
Ni kama nafikiri ingeweza kuwa recruiting ground ya vyombo hivyo nyeti vya usalama kwa sababu ya mchanganyiko mkubwa wa watu wenye haiba na mitazamo tofauti tofauti. Halafu kwa wengine it was a turning moment..they could discover other potentials they had which in some cases other environment could not reveal.iliondolewa kwa sababu na sidhani inaumuhimu wa kuirudisha
pesa za kupeleka JKT wangeupgrade JWTZ na taasisi zinginezo za kiusalama
kuna umuhimu sana wa kurudisha jkt ambao ni kujenga utaifa, umoja na utamaduni ambao umeporomoka sana baada ya kufuta jkt.
Kwa wale amboa tumepitia jkt ukiacha ile karinyekarinye ukafanya uchambuzi "objectively" utaona jkt ilitujenga kwa kutufanya tuje kuwa raia wema na kujiona wote ni ndugu bila kujari umetokea familai gani, kabila gani, mkoa gani au una rangi gani.
I fully support reintroduction of jkt with minor improvements