JKT Ruvu kama hamkuwa tayari kupokea watoto wetu kulikuwa hamna haja ya kusumbua wazazi

Ngoja wakafirwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamna wa kufirwa wapo zaidi ya wanafunzi mie wako nje ya geti, hapo nauliza logic ya jkt iko wapi? Kama amuezi kuheshimu maamuzi ya serikali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamna wa kufirwa wapo zaidi ya wanafunzi mie wako nje ya geti, hapo nauliza logic ya jkt iko wapi? Kama amuezi kuheshimu maamuzi ya serikali.
Mwambie arudi nyumbani haraka, huko hizo siku anazopoteza bora umlipie ada akasome VETA itamsaidia
 
Kwa bus.Mara ya mwisho ulisafiri lini?
Kwa taarifa yako ukitoka kigoma alfajiri na basi ya adventure utafika dodoma saa sit usiku, morogoro za 10 alfajiri Ruvu saa 11 alfajiri, hapo dereva hajaamua kulala popote ni non stop ni 1600km to dar gawanya kwa speed 80km per hour ya serikali kwali utafika hiyo siku?
 
hapo ndo mafunzo yameanza tayari
 
kwaninin usubiri deadline, unaanza kumfundisha mwanao uzembe
Kwanini usingempeleka siku moja kabla?
tunapenda kucheza na deadline
 
Mkuu unaposema udhalilishaji ni upi hasa ??
 
kwaninin usubiri deadline, unaanza kumfundisha mwanao uzembe

tunapenda kucheza na deadline
Kwani serikali ilituma fungu la maandalizi kwa wazazi, wakati wanajua ni wstoto wa masikini ndo wanao itikia huo wito wamateso kwa wstoto kwamjibu wa sharia
 
Mwambie arudi tu huko hamna ishu ajira zenyewe zikitoka wanataka JKT waliojitolea cheti cha Mujibu hakina nguvu kabisa.
 
hivi bado kuna watu wenye akili wanapeleka watoto wao huko kwa wanyanduaji ili wakawaambukize ngoma? kataa jeikeitii ni wagonjwa karibia wote hakuna cha uzalendo wala nini kwanza hao ndio walitakiwa walinde rasilimali za nchi zisiuzwe matokeo yake wamekaa kimya tu. NYAMBAF
 
Hata asipokwenda Hana alichopoteza labda kama unataka awe mwanajeshi au aajiriwe huko kwenye majeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…