Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika tuwaombe hawa DP word watuendeshee jeshi letu. Watuletee na majasusi wa Rwanda kwa lengo la kuleta ufanisi kwa jeshi letuNimeona wazazi wanalalamika kuwa watoto wao wamekataliwa kupokewa Hapo JKT Ruvu. Nashauri kama JKT nao hawajielewi hawawezi jiendesha wapewe DP World tu waiendeshe. Hakuna kucheka cheka na watu kwa sasa.
sisi tukisema kuwa hii nchi inahitaji wawekezaji walio serious tunaonekana wadini. ila ukitaka kujua tabia za watanzania fanya kazi selikalini yaani watu hawapo serious na kazi wanawaza kuiba tu.Kwakweli kama unataka kujua kwamba Tz kila sekita imeoza njoo ujionee hapa jkt, jinsi wanavo pokea watu kwa kujuana, najuliza hu ndo uzalendo wa kufundisha watoto wetu, najutia kumpeleka ndg yangu hamna lolote rushwa, kujuana na majigambo, hi nchi muache mama awape wanao weza kutuletea faida kama jkt ni shida kiasi hiki, je zile sehemu nyeti kama bandari, TRA, uhamiaji, Tanapa, hapa nimejifunza kitu sana.
Nani kakwambia jeshi haliendeshwi kisiasa au umekaririshwa na wewe umekariri? huyo CDF anapokea maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa CCM na kawekwa kwenye hiyo nafasi ya mkuu wa majeshi na mwenyekiti wa ccmJeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Mkuu kuwa mkweliInakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?
Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitoka Jkt lazima ukondee, wengine walilia baada ya kuwaona watoto wao km skeleton.Kamchukue, yaani mfuate mrudishe nyumbani.
Mwaka ule alienda binti yangu huko mlale alirudi amekonda hadi kichwa
Kiongozi wenu mwanasiasa halafu unaongea utopolo hapa. Nafasi zimeuzwa, sababu zinatafutwa tu hapa Full stop.Jeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Nidhamu huwezi mfundisha mtu kabla hujakaa naye. Wamekwenda kufunzwa nidhamu ukiwafukuza hutimizi lengo. Usihusishe complications na nidhamuJeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Ndo akatazwe kuingia, wangapi wanachelewa shule wangapi wanachelewa kazini, waseme tu nafasi wamesha ziuza kwa wengine walio kosa nafasi au walio pangiwa Bush, hi nchi ina uwozo kila sehemu.Mkuu kuwa mkweli
Mtoto amechelewa kutoka nyumbani
Nchi hii hakuna mkoa unaoweza kusafiri siku nne kufika Pwani hata kama shida ya usafiri,hakuna kitu cha namna hiyo,
Changamoto ya usafiri imeambatana na yeye kijana kuchelewa kupewa nauli
Jeshi sio shule wala kazini na ndio maana hakuna mtu ndani ya Jamhuri ya TZ anayeajiriwa jeshini.Ndo akatazwe kuingia, wangapi wanachelewa shule wangapi wanachelewa kazini, waseme tu nafasi wamesha ziuza kwa wengine walio kosa nafasi au walio pangiwa Bush, hi nchi ina uwozo kila sehemu.
Pale ni jeshi au mgambo, usichanganye jkt walinzi na jwtz. Wewe ulishawahi kuona jeshi linalo fundishwa miazi mitatu tu.Jeshi sio shule wala kazini na ndio maana hakuna mtu ndani ya Jamhuri ya TZ anayeajiriwa jeshini.
Hizo unazosema ni akili za uraiani ambazo huwa zinafutwa mara moja jeshini
Tangazo lao liliorodhesha vifaa vifuatavyoNimeona wazazi wanalalamika kuwa watoto wao wamekataliwa kupokewa Hapo JKT Ruvu. Nashauri kama JKT nao hawajielewi hawawezi jiendesha wapewe DP World tu waiendeshe. Hakuna kucheka cheka na watu kwa sasa.