Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Ukitaka updates humu labda game za Simba lakini utopolo hawana swaga kabisa..halafu wanajiita timu ya wananchi.Nini kinaendelea wakulungwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka updates humu labda game za Simba lakini utopolo hawana swaga kabisa..halafu wanajiita timu ya wananchi.Nini kinaendelea wakulungwa?
Wapo kwenye uzi wao wanaongeza namba ya views na repliesUkitaka updates humu labda game za Simba lakini utopolo hawana swaga kabisa..halafu wanajiita timu ya wananchi.
Nimetia mzigo boss nimemkataa Aston Villa na Vyura.Walitakiwa wakaze bhana watuangusha ,heri mpira uishe iwe dro
pamoja NA kufika form four unategemea updates humuuu AISEE shuleejamani muhimuu nendahumuUkitaka updates humu labda game za Simba lakini utopolo hawana swaga kabisa..halafu wanajiita timu ya wananchi.
Mpwa Nakuheshimu sana..pamoja NA kufika form four unategemea updates humuuu AISEE shuleejamani muhimuu nendahumuView attachment 1481566
Mbumbumbu fc kwa kuwashwa washwa!
We tayari ushakunwa[emoji16]
Utopolo na wale mamluki wa Simba SC sijawaona hapa, wao kazi yao kuwashwa tu akicheza Simba SC
Tuliwaambia mpira huwezi kushinda kila siku Utopolo nyie
Wake hapa, walipiga yowe sana utafikiri wanakaribia kubeba ubingwaWapo kwenye uzi wao wanaongeza namba ya views na replies
Utopolo bana.Wake hapa, walipiga yowe sana utafikiri wanakaribia kubeba ubingwa
Litimu la kijani halina hata dalili ya ubingwa wa VPL wala FA