JKT Tanzania vs Yanga

JKT Tanzania vs Yanga

Walitakiwa wakaze bhana watuangusha ,heri mpira uishe iwe dro
Nimetia mzigo boss nimemkataa Aston Villa na Vyura.
nilikuwa naimani sana na hawa makuruta kwamba wakianza kufunga wao watakaza wapaki ki-coster chao kile
 
Uwezo wa kushinda mechi walikuwa nao
Nimetia mzigo boss nimemkataa Aston Villa na Vyura.
nilikuwa naimani sana na hawa makuruta kwamba wakianza kufunga wao watakaza wapaki ki-coster chao kile
 
Ukitaka updates humu labda game za Simba lakini utopolo hawana swaga kabisa..halafu wanajiita timu ya wananchi.
pamoja NA kufika form four unategemea updates humuuu AISEE shuleejamani muhimuu nendahumu
Screenshot_20200617-174313.png
 
Utopolo na wale mamluki wa Simba SC sijawaona hapa, wao kazi yao kuwashwa tu akicheza Simba SC

Tuliwaambia mpira huwezi kushinda kila siku Utopolo nyie
 
JKT wametupunguzia kasi ,na azam jumapili wanaweza kudro tena,
Tunahitaji mechi 3 tuwe bingwa,au mechi mbili na dro mbili
Utopolo na wale mamluki wa Simba SC sijawaona hapa, wao kazi yao kuwashwa tu akicheza Simba SC

Tuliwaambia mpira huwezi kushinda kila siku Utopolo nyie
 
Back
Top Bottom