Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengo la Lamine litakuwepo ila si la kuzuia tusipate matokeo.Nye hamna nguvu ya kufunga azam na vile Lamine hachezi
😀😀😀Haya ni matokeo ya kawaida kwenye mpira hakuna geni kwahiyo nimefunga mjadala
unajua mechi za Yanga hata yanga wenyewe hawazitazami,wanasema ni kujiumiza bure. games za Simba zinatazamwa na woteSasa hivi wapo kimya ,siku wakifungwa huwaoni,wakishinda kelele kibao
Mkuu hapa hutawaona wanasubiri mechi ya Simba vs Mwadui wapate cha kuongea japo kiuhalisia hawatapata wanachokisubiri.Nawataka wale washirika wa Utopolo, hivi walidhani mpira utashinda siku zote eeeh
Barcelona yenyewe haishindi kila siku itakuwa hawa Utopolo de Deportivo de Mkunungu.
hahaaah sawa mtani,naona jana mmetuonesha na mchezo wa kung fu kidogoHahahaaa!! Mara nyingi muda wa hizi game nakuwaga home, na huwa nikiwa huko kuna ratiba zangu nimejiwekea hivyo itokee tu ndio utaniona jf mida hiyo ila nikiwa nazitekeleza basi nakuwa busy nazo.
Hahahahaaa. Lolhahaaah sawa mtani,naona jana mmetuonesha na mchezo wa kung fu kidogo
Hao mbumbumbu fc hasira ni kawaida yao swahiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Swahiba hivi hizi hasira wamezitowa wapi eti?
Hasira utadhania tumewang'oa kidole cha mwisho. 😅😅😅Hao mbumbumbu fc hasira ni kawaida yao swahiba
Mnyero fc,aka Mikia fc Ni timu ya wasenge
Walishawahi kung'oa viti uwanjani hawa swahibaHasira utadhania tumewang'oa kidole cha mwisho. [emoji28][emoji28][emoji28]
Swahiba nawajuaga timbwili lao eti. 😅 Hawana dogo.Walishawahi kung'oa viti uwanjani hawa swahiba
Swahiba nawajuaga timbwili lao eti. [emoji28] Hawana dogo.
Hahahaaaa!!! LolIvi sasa ni sa 05:42 mtani punguza mahaba na Utopolo[emoji15]
Hahahaaaa!!! Lol
Eti umeandika hadi muda. Lol
Hii ndio mida yangu kuingia Jf Mtani. Yaani tokea ile jana asubuhi ndio naingia tena jf saa hii.[emoji16]
Hii ndio mida yangu kuingia Jf Mtani. Yaani tokea ile jana asubuhi ndio naingia tena jf saa hii.
Nimekuta quotes nifanyeje sa. [emoji28]
Lol. Ndo hivyo.Hunishawishi apa[emoji16]
Lol. Ndo hivyo.
Unadhani kaangalie post zangu tena wa mwisho kukuquote ni wewe wewe. [emoji3][emoji3].
Nikiwa busy kwa Muhindi huwa sigusi simu. [emoji41][emoji41]