JKT Tanzania vs Yanga

JKT Tanzania vs Yanga

Za simba wanazitizama kisirisiri tukipoteza ndo wanajitokeza,hii timu yao ni level za pamba na maji maji
unajua mechi za Yanga hata yanga wenyewe hawazitazami,wanasema ni kujiumiza bure. games za Simba zinatazamwa na wote
 
Nawataka wale washirika wa Utopolo, hivi walidhani mpira utashinda siku zote eeeh

Barcelona yenyewe haishindi kila siku itakuwa hawa Utopolo de Deportivo de Mkunungu.
Mkuu hapa hutawaona wanasubiri mechi ya Simba vs Mwadui wapate cha kuongea japo kiuhalisia hawatapata wanachokisubiri.

Simba nguvu moja
 
Hahahaaa!! Mara nyingi muda wa hizi game nakuwaga home, na huwa nikiwa huko kuna ratiba zangu nimejiwekea hivyo itokee tu ndio utaniona jf mida hiyo ila nikiwa nazitekeleza basi nakuwa busy nazo.
hahaaah sawa mtani,naona jana mmetuonesha na mchezo wa kung fu kidogo
 
Lol. Ndo hivyo.

Unadhani kaangalie post zangu tena wa mwisho kukuquote ni wewe wewe. [emoji3][emoji3].

Nikiwa busy kwa Muhindi huwa sigusi simu. [emoji41][emoji41]

Ngoja wadau wa Simba waje wanipe udhibitisho[emoji16]
 
Back
Top Bottom