Hahahaaa. Na hapa nikishatoweka ndio hadi jumatatu. ππNgoja wadau wa Simba waje wanipe udhibitisho[emoji16]
Hahahaaa. Na hapa nikishatoweka ndio hadi jumatatu. [emoji41][emoji41]
Naskia leo tunacheza na mbabe wetu Mwadui. ππUtapatikana tu labda uzime simu kuanzia leo usiku
Naskia leo tunacheza na mbabe wetu Mwadui. [emoji41][emoji41]
Umeandika kinyonge mwenyewe. πNdio Mtani
Umeandika kinyonge mwenyewe. [emoji28]
#Kila la kheri Mwadui.
Hahahahaaaaa. Lol.Mwenye nyumba kaja kugonga mlango ndo nikatype haraka[emoji1]
Hahahahaaaaa. Lol.
Msalimie.
Umeandika kinyonge mwenyewe. [emoji28]
#Kila la kheri Mwadui.
Kweli kabisa. Nadhani mpaka next season tena.Ila ligi haina msisimko tena kama mwanzo
Kweli kabisa. Nadhani mpaka next seasson tena.
Koona hiyo.
Hakuna saa hizi kila mmoja anawaza ligi iishe.Mtaani hakuna kutaniana kama zamani[emoji16]
Hakuna saa hizi kila mmoja anawaza ligi iishe.
Na si ya Tanzania hadi Ulaya ujue. Kama UEFA Champions League nayo inarudi kwa style ambayo haisisimui hata.
Poa poa Mtani.Yaani tabu tupu!ngoja nirudi kulala tena labda nitapata usingizi[emoji16]bye