Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Na hapa nikishatoweka ndio hadi jumatatu. 😎😎Ngoja wadau wa Simba waje wanipe udhibitisho[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Na hapa nikishatoweka ndio hadi jumatatu. 😎😎Ngoja wadau wa Simba waje wanipe udhibitisho[emoji16]
Hahahaaa. Na hapa nikishatoweka ndio hadi jumatatu. [emoji41][emoji41]
Naskia leo tunacheza na mbabe wetu Mwadui. 😎😎Utapatikana tu labda uzime simu kuanzia leo usiku
Naskia leo tunacheza na mbabe wetu Mwadui. [emoji41][emoji41]
Umeandika kinyonge mwenyewe. 😅Ndio Mtani
Umeandika kinyonge mwenyewe. [emoji28]
#Kila la kheri Mwadui.
Hahahahaaaaa. Lol.Mwenye nyumba kaja kugonga mlango ndo nikatype haraka[emoji1]
Hahahahaaaaa. Lol.
Msalimie.
Umeandika kinyonge mwenyewe. [emoji28]
#Kila la kheri Mwadui.
Kweli kabisa. Nadhani mpaka next season tena.Ila ligi haina msisimko tena kama mwanzo
Kweli kabisa. Nadhani mpaka next seasson tena.
Koona hiyo.
Hakuna saa hizi kila mmoja anawaza ligi iishe.Mtaani hakuna kutaniana kama zamani[emoji16]
Hakuna saa hizi kila mmoja anawaza ligi iishe.
Na si ya Tanzania hadi Ulaya ujue. Kama UEFA Champions League nayo inarudi kwa style ambayo haisisimui hata.
Poa poa Mtani.Yaani tabu tupu!ngoja nirudi kulala tena labda nitapata usingizi[emoji16]bye